asha ngohi
Member
- Apr 11, 2013
- 20
- 5
Hizi ndoa zina mambo sana..eh Mungu tunusuru na changamoto hii..
Maisha bwana.ikumbukwe wsnao umia ni watoto ns c ww au mume.kikubwa vumilia kwanza ila kama kaoa waweza dai talaka lakini kama bado vumilia kwajili ya malezi mema ya wanao.ni huzuni sana cz wanao umia ambao hawastahiki ni watoto tu na c nyie
Ina maana unataka kuolewa tena?
Ukiamua kuishi na wanao bila kuolewa tena hicho cheti ni ganda tu
na mwisho wa siku mnaweza hata kuzikana.
Mkuu wamaanisha Nivumilie kama hajaoa akijickia ndio arudi tulee watoto? Au cjaelewa kama ulivyotaka nielewe?
Amen mkuu
vp ulishapata talaka auNimeolewa miaka minne iliyopita na Nina watoto wawili,miaka miwili iliyopita tulihitilafiana na mume wangu tukatengana baada ya pale alisusa kuhudumia watoto kwa kilakitu ninaishi na watoto wangu bila msaada wowote kutoka kwake...
Naomba wakuu mniongoze katika kupata talaka ili nianze upya nikijua Niko huru kuliko kuishi kwa mashaka hivi kwa kivuli cha Ndoa ambayo haiexist. Msaada wenu Tafadhali.