Naanzaje kupata talaka?

Naanzaje kupata talaka?

Maisha bwana.ikumbukwe wsnao umia ni watoto ns c ww au mume.kikubwa vumilia kwanza ila kama kaoa waweza dai talaka lakini kama bado vumilia kwajili ya malezi mema ya wanao.ni huzuni sana cz wanao umia ambao hawastahiki ni watoto tu na c nyie
 
Ina maana unataka kuolewa tena?
Ukiamua kuishi na wanao bila kuolewa tena hicho cheti ni ganda tu
na mwisho wa siku mnaweza hata kuzikana.
 
Hizi ndoa zina mambo sana..eh Mungu tunusuru na changamoto hii..
 
Maisha bwana.ikumbukwe wsnao umia ni watoto ns c ww au mume.kikubwa vumilia kwanza ila kama kaoa waweza dai talaka lakini kama bado vumilia kwajili ya malezi mema ya wanao.ni huzuni sana cz wanao umia ambao hawastahiki ni watoto tu na c nyie

Mkuu wamaanisha Nivumilie kama hajaoa akijickia ndio arudi tulee watoto? Au cjaelewa kama ulivyotaka nielewe?
 
Ina maana unataka kuolewa tena?
Ukiamua kuishi na wanao bila kuolewa tena hicho cheti ni ganda tu
na mwisho wa siku mnaweza hata kuzikana.

Kuolewa tena haipo kwenye rtba yangu kikubwa ninachotaka kufanya ni kusecure future yangu, that's all...... Mambo yangu Mengi nafanya kwa mashaka kwasababu ya hiko kivuli cha Ndoa... Kuzikana ni stork nyingine kabisa mkuu
 
Vumilia mama uciwe na haraka.muombesana mungu nac tumepitia hayo.ila kama ameoa dai ili uwe huru.tuma contact zako nikushauri ndugu
 
Mkuu wamaanisha Nivumilie kama hajaoa akijickia ndio arudi tulee watoto? Au cjaelewa kama ulivyotaka nielewe?

Vumilia mama.sote tumepitia hayo.ila kama ameoa dai talaka.na uanze kutafuta suruhu ktk mabalaza ya usuruhishi ila kama ameoa dai.ila kama muislamu ameongeza mke badi vuta subra usidai.nitumie contact
 
Nimeolewa miaka minne iliyopita na Nina watoto wawili,miaka miwili iliyopita tulihitilafiana na mume wangu tukatengana baada ya pale alisusa kuhudumia watoto kwa kilakitu ninaishi na watoto wangu bila msaada wowote kutoka kwake...
Naomba wakuu mniongoze katika kupata talaka ili nianze upya nikijua Niko huru kuliko kuishi kwa mashaka hivi kwa kivuli cha Ndoa ambayo haiexist. Msaada wenu Tafadhali.
vp ulishapata talaka au
 
Back
Top Bottom