Naanzaje?

Hahahaaa wanaume mna kazi kweli kweli, ndo maana wengine wanatokaga majasho mengi hata kama ni baridi, mmoja alishuka kituo sio chake akanambia nimeshuka kwa ajili yako, nilicheka sana halafu tulikuwa na baba angu
I hope ulimpa no
 
Jamba tu kwa sauti mazungumzo yataanza automatically
 
kausha ...... kama amekukubali ataongea mwenyewe coming from ma experience
 
asante shikamooo
 
hahaaaaa aiseee
 
Hahahaaa wanaume mna kazi kweli kweli, ndo maana wengine wanatokaga majasho mengi hata kama ni baridi, mmoja alishuka kituo sio chake akanambia nimeshuka kwa ajili yako, nilicheka sana halafu tulikuwa na baba angu
hii qali ..mlimalizana vipi sasa ..wakati ulikuwa na mdingi ..
daahh hizo za kughairi safari zimeshanikuta mnooo aiseee
 
Nashukuru kwa ushauri....
Mrejesho ni kwamba Mtoto kajaa mazima....niko nasubiria cha tatu muda huu

Sent from my SM-J500FN using JamiiForums mobile app
 
Mwambie my name is mdomo zege
hahaha lolz ...... i wonder if the girl did know the joke she would just bust out laughin and im like hahaha type of dumb uknowing...laugh....hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…