Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Hujui Hindi y'all kuanzisha mawasiliano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nianze mnunulia bites hapa
We hunitakii mema asee
Positive ukitoa bite akifika Dar atataka smartphone huyo.Sure?
Achana naye mkuuNmeanza bro...anasema anasoma mzumbe
Nina samsung EdgeNunua Daily news concetrate na story za ngeli hata kama inapiga chenga,
Halafu mtext mwanao akupe mchongo wa kufanya kazi UN mwambie wizara ya Madini wanazingua sana unataka upige chini kazi,
Mwambie umetoka kufanya interview NGO moja kutoka brazil ambayo base yake hapa bongo ipo morogoro then agana nae kata simu
Angalizo usiwe na tecno au huawei.
mwambie dada kwa kweli umebarikiwa kuliko wanawake wote ambao nimepata kuwaona, akikuuliza kwa nini mwambie umejaliwa shape moja hatari sana shemeji anafaidi, afu change topic muulize kama anakuja dar kufany nn, jitambulishe baada ya hapo nadhani mtakuwa mmeshafika ubungo na anaweza kukupatia namba kama umemchangamsha vya kutoshaAna shape hataree....nahc mchina
Go onNina samsung Edge
Ukifika Ubungo utupe mrejeshoJamani nshalianzsha na mtoto anajaa.. wacha niwe busy.. asanteniiiii see youuuu
Haha ungemuuliza mbona hutulii jombaahahahahah umenikumbusha safari yangu na abood!nimekaa namkaka seat moja!jaman kaka alikua hatulii mara akohoe mara akae vzr, anyanyuuke,akikaa tena annakugusa upaja!yaan alikua vurugu tupu!tunafika maili moja eti akanisalimia dada vip!hhaaaaaaaaa nikamjib poa...aise wanaume mna kazi