Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

Kwanini isingekua hivyo kwenye mechi ya leo,nini kimesababisha leo Yanga wasishinde home,angalau wange draw lakini wamepigwa1-2,why?
 
Soma post uzi Wangu ambao nimesema
Kuhusu mechi ya leo nilisema kila nikifunga macho nilikuwa sioni chochote kabisa ila nilisema yanga Wawe makini Na mipira ya juu tu
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho

Acha kutaja jina la Mungu wako bure!pumbav
 
Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
We kijana muheshimu mama yako.

Watu kama wewe na kilaza mwenzio Alima Kamwene ndo mnatutia nuksi hadi tunafungwa kumbafu.
 
Unaapa Kwa kutegemea bahati maana mnajua uwezo mnazidiwa.
 
h
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
ilo halina ubishi,mvua imempa mwarabu comfidence pia ndo maana walikuwa na energy mda wote...kule algeria yanga anashinda 3-1 au 2-1 anaenda kumtoa mwarabu matutani,NAIAMINI YANGA KULIKO MADRID YANGU.
 
Sawa sawa...tuombe uzima tushuhudie hili.
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Usitaje jina la bwana kwenye utopolo wenu
 
Mmeshindwa nyumbani kwenu mnaanza kuwaza ya ugenini. Waarabu nao waliwaachia Sana walitkiwa kuwakanda goli nne mnyamze.
 
Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Tatizo la afya ya akili hiki nitafute dm ntakulipia consultation fee ukaonane na Dr Mauki Kuna namna atakusaidia,mama yako na mke na mpira wa miguu umevichanganya vipi ?Kubali una TATIZO
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Id yako inaonyesha uhalisia wako itakua unaota, tuliza wenge kwanza ndio upost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…