Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Kwanini isingekua hivyo kwenye mechi ya leo,nini kimesababisha leo Yanga wasishinde home,angalau wange draw lakini wamepigwa1-2,why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post uzi Wangu ambao nimesemaKwanini isingekua hivyo kwenye mechi ya leo,nini kimesababisha leo Yanga wasishinde home,angalau wange draw lakini wamepigwa1-2,why?
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
We kijana muheshimu mama yako.Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
We kijana muheshimu mama yako.Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Kila ukifumba macho aukuona chochote kwasababu hauna karama za kuona yajayo.Soma post uzi Wangu ambao nimesema
Kuhusu mechi ya leo nilisema kila nikifunga macho nilikuwa sioni chochote kabisa ila nilisema yanga Wawe makini Na mipira ya juu tu
ilo halina ubishi,mvua imempa mwarabu comfidence pia ndo maana walikuwa na energy mda wote...kule algeria yanga anashinda 3-1 au 2-1 anaenda kumtoa mwarabu matutani,NAIAMINI YANGA KULIKO MADRID YANGU.Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Usilitaje bure jina la Mungu wako.Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Sawa sawa...tuombe uzima tushuhudie hili.h
ilo halina ubishi,mvua imempa mwarabu comfidence pia ndo maana walikuwa na energy mda wote...kule algeria yanga anashinda 3-1 au 2-1 anaenda kumtoa mwarabu matutani,NAIAMINI YANGA KULIKO MADRID YANGU.
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Usitaje jina la bwana kwenye utopolo wenuNahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
We jamaa acha ujinga!!fwala kabaisaHakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Kupavu vs Nahapa, patamu hapo [emoji23]Mpe heahima mama yako kupavu zako
Tatizo la afya ya akili hiki nitafute dm ntakulipia consultation fee ukaonane na Dr Mauki Kuna namna atakusaidia,mama yako na mke na mpira wa miguu umevichanganya vipi ?Kubali una TATIZOHakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Id yako inaonyesha uhalisia wako itakua unaota, tuliza wenge kwanza ndio upostNahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho