Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

Ndugu ukitaka Na Kupa ata namba yangu tutafutana Na Kupa Laki Moja ushike mikononi mwako yanga akitolewa Na waarabu pesa Izo sitokudai yanga akiwatoa waarabu unanirudishia pesa zangu
Njoo PM tuwekeane Dau Yanga hawezi kupindua matokeo Algeria.

Ninaweza Dau la Laki 2 na wewe weka Dau la Laki 2.

Njoo PM
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Kuwatoa? Umevurugwa wewe, habari za kutoana zilishakwisha
 
ProfessionEl?
 
Mmehama tena kwenye Ile kauli ya kwa Mkapa hawatoki, tunawapiga 3-0 au 3-1? Hiyo ndo imetoka.

Kawahenyesha USM Algiers, mngekuwa nyie kule Champions League yule Wydad Casablanca mngemuweza? Hata kwenye matuta msingefika.
 
Itoshe kusema mwendo mmeumaliza...mwarabu mbele ya kombe tena kwake huwa ni monster haswaa!!mtachukua chuma zingne 2+
 
Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Mkuu, jitahidi kuficha upumbavu wako, acha ushabiki wa kipuuzi, muheshimu mama yako.

Vv
 
Mpumbavu wewe una laana ya mama yako
Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
.
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Uko Kama mimi Imani yangu Hawa tunawafunga kwao majirani zetu mwakarobo hawataamini kitakachotokea Imani yangu ni kubwa mfano hakuna
 
Fainali imeishia hapa Kule mkatafute mashindi wa pili.
 
Acha kusumbua mamlaka za mbingu ,we apia kwa haki ya marehem bibi yako mzaa baba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…