Ndombe Mubele
JF-Expert Member
- May 19, 2019
- 242
- 529
Pole mm na mr wote Simba..leo humu ni furaha na mvinyo tuu...Yaani acha tu, mama watoto nae mshenz kweli, kisa ye Simba narudi nyumbani nakuta wote wametundika jezi za simba
Yanga Kila Mchezaji Alipata Ahadi Ya Bombadier Moja Moja Endapo Watachukua KombePole mkuu..kulia kupokezana mkibeba ubingwa mtatuzodoa na nyie
Ndo tabu ilipoanzia hapo..badala wacheze wanawaza bombadierYanga Kila Mchezaji Alipata Ahadi Ya Bombadier Moja Moja Endapo Watachukua Kombe
Dah ila jamani hizi Timu zinajua kuharibu siku, najua mtani Leo hapatoshi๐Pole mm na mr wote Simba..leo humu ni furaha na mvinyo tuu...
Hujui mpira kaa kimya utaliwa kiboga bureNdugu nawaambia yeyote ambaye ana bisha Mimi nipo tayari kubeti Na sio kubeti Na mpa pesa yeye anakaa nazo yanga akifungwa Izo pesa ana Kula yanga akifunga ana nirudishia pesa zangu
Huyu muwahisheni mirembe anawehuka.Hujui mpira kaa kimya utaliwa kiboga bure
Sanaaa unaweza kudhani ni jambo jepesi sio jepesi hata kidogoDah ila jamani hizi Timu zinajua kuharibu siku, najua mtani Leo hapatoshi๐
Ila kuonyesha uanaume Wacha tukampige mwarabu Kule kwakeSanaaa unaweza kudhani ni jambo jepesi sio jepesi hata kidogo
Najua mnaniona Mimi punguani lakini najua ninacho kisema hakika ya Mungu nipo tayari kuweka Laki 2 kwa yeyote atakaye Taka kubeti Na Mimi yeye aweke 0Mkuu, jitahidi kuficha upumbavu wako, acha ushabiki wa kipuuzi, muheshimu mama yako.
Vv
Kila la heri wakuuIla kuonyesha uanaume Wacha tukampige mwarabu Kule kwake
Tupe majina yako kamili tumfuate mama ako tumueleze hayaHakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
BlessingsKila la heri wakuu
Kuna laana ya maneno na baraka ya mdomo utachagua upande unaokufaaNahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho