Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

1 Huna Akili

2 Hujui Mpira

3 Nan kamwambia Hizi Mechi Ni Mtoano?

Kaa Kwa Kutulia 🐸🐸 Mechi Imeshaisha
 
Ndugu nawaambia yeyote ambaye ana bisha Mimi nipo tayari kubeti Na sio kubeti Na mpa pesa yeye anakaa nazo yanga akifungwa Izo pesa ana Kula yanga akifunga ana nirudishia pesa zangu
Hujui mpira kaa kimya utaliwa kiboga bure
 
Wewe ndiyo mganga wa Yanga uliwaaminisha watashinda leo imekua kinyume sasa unawapa matumaini tena mbaya zaidi umehalifu amri mbili ya kutaja bure jina la Mungu na kutoheshimu wazazi hiyo timu yako itatolewa kwa aibu ili ujue Mungu ni mkuu
 
Mkuu, jitahidi kuficha upumbavu wako, acha ushabiki wa kipuuzi, muheshimu mama yako.

Vv
Najua mnaniona Mimi punguani lakini najua ninacho kisema hakika ya Mungu nipo tayari kuweka Laki 2 kwa yeyote atakaye Taka kubeti Na Mimi yeye aweke 0
 
Faida ya Waarabu hawa kule kwao hawana Adui wa Ndani!!Kama YANGA na Simba!!Simba wamewaroga sana Yanga leo wasishinde ili Kusiwe na historia yakuchukua Kombe hili kwa Nchi yetu!!Sina mategemeo makubwa kwa ushindi ...Lakini dua nyingi kwa Timu yetu ya Wananchi
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Kuna laana ya maneno na baraka ya mdomo utachagua upande unaokufaa
 
Back
Top Bottom