Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga mkono Chama chochote cha upinzani.