Imani potofu za kishirikina zitawasababishia mawenge watu wengi mno wenye fikra na mawazo mgando kama huyu kijana,
hata hivyo,
ni Lazima kujitolea kumsaidia kijana huyu ambae ni nguvu kazi ya taifa, ili kuondokana na dhana zinazosababisha mtu kufanya uamuzi au kuchukua hatua ambazo zitamuathiri na kumdhuru yaye mwenyewe.
Ndugu zangu wanafunzi, someni kwa bidii, na wale wa mitaani tafadhali usichagua kazi, uliyonayo ifanye kwa moyo na bidii sana bila kukata tamaa.
Jambo la maana zaid, kua mstahimilivu na uwe na subra 🐒