Naapa kuachana na CCM

Captain Fire

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2023
Posts
2,435
Reaction score
5,000
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga mkono Chama chochote cha upinzani.
 
Kwa sababu ya kukosa mkopo tu??
 
Hongera mkuu yaani hapo unaachana na shetani asee
 
Japo umechekewa lakini Hongera
 
Hii ni ithibati kuwa uzalendo wa kweli ni kwa tumbo la muhusika pekee, mengine mbwembwe.

Angepata boom, muda huu angekuwa anashusha insha za kumsifu mama kwa kuupiga mwingi.
Sababu ni nyingi ongezeeni na nyinyi
 
Aisee kuna na hii ya %10 ya halmashauri ni mbwembwe tu
 
Ww hunipendi lakini wazazi wako na ndugu zako wanakipenda sana chukua hatua waelimishe ndugu,jirani na marafiki kuhusu CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…