Naapa kuachana na CCM

Wewe sio mwana CCM,wenyewe hawana hizo tabia za kususa...
 
Tunge wapata MaCaptain Fire Million tano kame wewe tungejitoa kwa uhakika kwenye makucha ya wanyonyaji wakoloni mamboleo.
 
Tunge wapata MaCaptain Fire Million tano kame wewe tungejitoa kwa uhakika kwenye makucha ya wanyonyaji wakoloni mamboleo.
Asante bro, nitasimama imara kuunga mkono upinzani wowote dhidi ya CCM ya Samia
 
CCM ni Chama Cha Mashetani, umefanya jambo jema kumkataa shetani na mambo yake yote.
Umenikumbuka Paroko akiwa anatuapisha wakati wa kupata Ubatizo na Kipaimara...


Je Mwazikata kazi za shetani na mambo yake yoote?

Na kwamba mtashimanan na Kristo na Utukufu wake?

Waumini; Twazikataa
 
Hivi bado kuna vijana wabichi wapo CCM, kweli?!
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.


OKOENI TAIFA LENU LEO.

IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA HADI NA SILOMALIA KIUCHUMI.

MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Wewe dogo umeifanyia nini taifa lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…