Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

jiondoe haraka sana mpuuzi we
 
Unajisikiaje huko uliko? Maana umeonekana kichwani hamnazo!!
 
Mkuu kwa vile nchi hii ni yetu sote na ushindi ni wa watanzania wote... Karibu tufurahie ushindi...😂🤣😂
 
Uongozi wa jamii forum Kwa heshima na taadhima hii account tunaomba muifute moja Kwa moja ili iwe fundisho Kwa watu kama hawa ili asitokee ndondocha mwingine akaahid na kuandika kitu asichokiweza
Konda msafi vp lile dili lako kule mtwara ulifanikisha la kununua Gari?
 
ondoka
 
Moderator tunajua mnataka watu wengi humu, lakini mtu kama huyu ilipaswa mu block hata siku moja tu. Hawezi jaza ahadi hapa halafu isitekelezwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…