Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Pole.
Uende salama.
 
Maamuzi yako mtoa mada ni magumu sana, kwa sababu uwanjani, lolote linaweza kutokea.

Lakini hilo halionndoi ukweli kwamba timu hizi ni vilaza, japo kwa maneno ya kujisifu zinaongoza.

Hakika, mpira ungekuwa ni maneno mdomoni, Simba na Yanga zingekuwa mabingwa wa dunia.
We nae walewale
 
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ushajiondoa
 
Bado una comment
 
We mwisho kambi bado umo humu umeahidi kujitoa haya tusikuone na wala usije na ID nyingine nikijua utaona
 
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Huna akili
 
Yupo uko ameukimbia uzi aliouanzisha mwenyewe, uyu bwana hana tofauti na Okwi boban wote uwa wana gundu wakitabiri kitu kinakuwa vise versa🤣🤣🤣
 
Wakat mwingine hua unakua unaona Mambo hayaendi kumbe tunahukumiwa na viapo tulivyo apia
 
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
bado
 
Back
Top Bottom