Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Jitoe
 
Busara, hekima na msimamo thabiti ni vitu muhimu sana kuishi navyo kwenye jamii na hii itakufanya uheshimike zaidi

Mkuu Mwishokambi najua huwezi jitoa jamiiforum ila tunza na uwe na akina ya maneno, hatujuani ila kupitia threads na comments hufanya mtu uonekane ni wa maana na kujijengea heshima punguza viapo na rehani uchwara
 
Mechi Bado..... Bayen Munich walipindua meza kibabe 1998 naiombea yanga ushindi mnono japo mm ni Simba 🦁
Tanzania kwanza
 
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app

Maxence Melo
 
Haya naombaaa ujiondoee mwenye JF kabla Moderators hawajafyekelea mbali account yako....
 
Back
Top Bottom