Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ahadi ndogo ahidi kitu kingine kizuri zaidiMpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.
Tusidanganyane hapa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Endelea Ila matokeo yatakuacha mdomo wazi leo, utalala na njaa weweIla Yanga mashabiki wake wana mdomo sana, nawaombea njaa
Basi kama huwaheshimu yanga em jaribu kuheshimu mpira.Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.
Tusidanganyane hapa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Tuko pamoja.Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.
Tusidanganyane hapa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kusanya virago mapema Mkuu.Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.
Tusidanganyane hapa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
We bwege jiandae kutuaga humuMpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.
Tusidanganyane hapa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Viapo vingine Jamani.We bwege jiandae kutuaga humu
Mtupe matokeo ya matchViapo vingine Jamani.
😂We bwege jiandae kutuaga humu
Ha ha kolo utawawezaWe bwege jiandae kutuaga humu