Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

Rasmi kuanzia sasa usionekane JF
 
Ni upumbavu kujiaminisha kipumbavu, kitu kinachoitwa mpira chochote kinaweza kutokea Leicester City alichukua ubingwa wa EPL, Simba aliwahi kutolewa FA na mashujaa, Saudi kamfunga Argentina n.k.
Kuna wakt unakuwa na akili ila Kuna wkt unakuwa andazi vilevile

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya Makolo wote Mo Dewji tu ndiye afadhali na Tweet yake "JANA TUMEFUNGWA MAGOLI LEO TUMEFUNGWA MIDOMO" hongera zake kwa kuukubali mziki wa Wananchi.
 
Aliyeapa atajitoa JF kama Yanga ikifunga bado yupo? Nilisema mpira ni utabiri wa hali ya hewa, angalia mvua ya mawe ilivyoanguka.
 
Usiwe unaapa kwa mambo ya utabiri, itakula kwako. Angalia sasa imekula kwako, jiondoe haraka JF.
 
Ni matumaini yangu kuwa haupo tena JF!...wasalimie uendako!!
 
We Kolo mbona bado hujajiondoa?
 
Konda msafi vp lile dili lako kule mtwara ulifanikisha la kununua Gari?
Samahani mkuu Kwa kuchukua muda mrefu bila kujibu hapa, kwanza katika kuishi kwangu Tanzania sijawahi kufika mtwara na sijawahi kuwa na deal ya gari huko.Ahsante
 
Sio kweli mzee
Wewe unanijua zaidi ya ninavyojijua? Pili hapa jamii forum sifahamiani na mtu yeyote yule zaidi ya humu sababu Kwa hii user name ninayotumia 3 sijawahi kufika mtwara na Tanzania mara ya mwisho kuishi ni 2008 huwa nakuja salimia family na kurudi huku nilipo, mwaka 2020 pia nilikaa huko dodoma Kwa miezi kama 6 hivi Kwa kazi maalum. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…