Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Ni aibu kubwa kama chadema ikamsimamisha Membe agombee kutokana na matukio ya kina Lowasa na Sumaye waliyofanya.
Nitakuwa mjinga wa ajabu napanga foleni kupigia kura chadema na mgombea ni Membe,haiwezekani chama hiki watu wameiamini na mbali kuwa kongwe haina mtu asili aliyelelewa chadema na kukulia chadema ndani ya zaidi ya miaka 20 ya chama kwenye siasa.
Zamu hii mkileta mgombea wa CCM mtampigia kura nye wenyewe ,na itajulikana wale wabunge waliotoka chadema na madiwani kuunga juhudi walikuwa sahihi chadema haifai.
Itakuwa akili za uwendawazimu unapinga watu kuunga juhudi za Magufuli na kufukuzwa kwenye chama wakati nye wenyewe hamna mgombea mnawategemea waliofukuzwa CCM.
Kama mnamkosoa magufuli na ccm yake na kuwafukuza watu wanaomsifu kwanini nye mnavizia masalia ya ccm yatuongozee kama nye siyo wapiga dili na kwa maslahi ya wananchi.
Mtawaambia nini wananchi mkimleta Membe.
Mimi chadema siwezi kumpigia Membe kura kisa kaja chadema.