mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Wewe acha sisi tutaipigia ,tunaipenda Sacco's yetu ,Sana tu
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, akina salary slip, cry nini sijui na kenge lao, watakushambulia vibaya sana na utaonekana msaliti. CDM hawaruhusu kukosolewa. Wote wanaofanya kama wewe, ushambuliwa na hawa jamaa na kuambiwa wasaliti au ccm hata kama ni kwa nia nzuri tu.Ni aibu kubwa kama chadema ikamsimamisha Membe agombee kutokana na matukio ya kina Lowasa na Sumaye waliyofanya.
Nitakuwa mjinga wa ajabu napanga foleni kupigia kura chadema na mgombea ni Membe,haiwezekani chama hiki watu wameiamini na mbali kuwa kongwe haina mtu asili aliyelelewa chadema na kukulia chadema ndani ya zaidi ya miaka 20 ya chama kwenye siasa.
Zamu hii mkileta mgombea wa CCM mtampigia kura nye wenyewe ,na itajulikana wale wabunge waliotoka chadema na madiwani kuunga juhudi walikuwa sahihi chadema haifai.
Itakuwa akili za uwendawazimu unapinga watu kuunga juhudi za Magufuli na kufukuzwa kwenye chama wakati nye wenyewe hamna mgombea mnawategemea waliofukuzwa CCM.
Kama mnamkosoa magufuli na ccm yake na kuwafukuza watu wanaomsifu kwanini nye mnavizia masalia ya ccm yatuongozee kama nye siyo wapiga dili na kwa maslahi ya wananchi.
Mtawaambia nini wananchi mkimleta Membe.
Mimi chadema siwezi kumpigia Membe kura kisa kaja chadema.
Mkuu, akina salary slip, cry nini sijui na kenge lao, watakushambulia vibaya sana na utaonekana msaliti. CDM hawaruhusu kukosolewa. Wote wanaofanya kama wewe, ushambuliwa na hawa jamaa na kuambiwa wasaliti au ccm hata kama ni kwa nia nzuri tu.
Mungu awapitishe salama wasiingie mtego wa 2015 kwa haya makapi ya ccm tena.
Ni aibu kubwa kama chadema ikamsimamisha Membe agombee kutokana na matukio ya kina Lowasa na Sumaye waliyofanya.
Nitakuwa mjinga wa ajabu napanga foleni kupigia kura chadema na mgombea ni Membe,haiwezekani chama hiki watu wameiamini na mbali kuwa kongwe haina mtu asili aliyelelewa chadema na kukulia chadema ndani ya zaidi ya miaka 20 ya chama kwenye siasa.
Zamu hii mkileta mgombea wa CCM mtampigia kura nye wenyewe ,na itajulikana wale wabunge waliotoka chadema na madiwani kuunga juhudi walikuwa sahihi chadema haifai.
Itakuwa akili za uwendawazimu unapinga watu kuunga juhudi za Magufuli na kufukuzwa kwenye chama wakati nye wenyewe hamna mgombea mnawategemea waliofukuzwa CCM.
Kama mnamkosoa magufuli na ccm yake na kuwafukuza watu wanaomsifu kwanini nye mnavizia masalia ya ccm yatuongozee kama nye siyo wapiga dili na kwa maslahi ya wananchi.
Mtawaambia nini wananchi mkimleta Membe.
Mimi chadema siwezi kumpigia Membe kura kisa kaja chadema.
Nasimama nawewe, watakuwa hawajielewi kurudia makosa yaleyale. Watakuwa c wa kuwaamini tena.Nina imani na Chadema ila wakisubutu tu kumleta Membe kuwa mgombea Urais imani yangu itakoma hapo
Acha hasira, Membe anatakiwa anogeshe uchaguzi.
Chadema wakimsajili Membe, Lisu anahamia CCM na kuteuliwa kuwa mmoja ya watendaji wa juu sana serikalini.Ni aibu kubwa kama chadema ikamsimamisha Membe agombee kutokana na matukio ya kina Lowasa na Sumaye waliyofanya.
Nitakuwa mjinga wa ajabu napanga foleni kupigia kura chadema na mgombea ni Membe,haiwezekani chama hiki watu wameiamini na mbali kuwa kongwe haina mtu asili aliyelelewa chadema na kukulia chadema ndani ya zaidi ya miaka 20 ya chama kwenye siasa.
Zamu hii mkileta mgombea wa CCM mtampigia kura nye wenyewe ,na itajulikana wale wabunge waliotoka chadema na madiwani kuunga juhudi walikuwa sahihi chadema haifai.
Itakuwa akili za uwendawazimu unapinga watu kuunga juhudi za Magufuli na kufukuzwa kwenye chama wakati nye wenyewe hamna mgombea mnawategemea waliofukuzwa CCM.
Kama mnamkosoa magufuli na ccm yake na kuwafukuza watu wanaomsifu kwanini nye mnavizia masalia ya ccm yatuongozee kama nye siyo wapiga dili na kwa maslahi ya wananchi.
Mtawaambia nini wananchi mkimleta Membe.
Mimi chadema siwezi kumpigia Membe kura kisa kaja chadema.
Kuwa flexible siasa ni upepo.Ni aibu kubwa kama chadema ikamsimamisha Membe agombee kutokana na matukio ya kina Lowasa na Sumaye waliyofanya.
Nitakuwa mjinga wa ajabu napanga foleni kupigia kura chadema na mgombea ni Membe,haiwezekani chama hiki watu wameiamini na mbali kuwa kongwe haina mtu asili aliyelelewa chadema na kukulia chadema ndani ya zaidi ya miaka 20 ya chama kwenye siasa.
Zamu hii mkileta mgombea wa CCM mtampigia kura nye wenyewe ,na itajulikana wale wabunge waliotoka chadema na madiwani kuunga juhudi walikuwa sahihi chadema haifai.
Itakuwa akili za uwendawazimu unapinga watu kuunga juhudi za Magufuli na kufukuzwa kwenye chama wakati nye wenyewe hamna mgombea mnawategemea waliofukuzwa CCM.
Kama mnamkosoa magufuli na ccm yake na kuwafukuza watu wanaomsifu kwanini nye mnavizia masalia ya ccm yatuongozee kama nye siyo wapiga dili na kwa maslahi ya wananchi.
Mtawaambia nini wananchi mkimleta Membe.
Mimi chadema siwezi kumpigia Membe kura kisa kaja chadema.
Exactly, makosa ambayo wanafiki wa cdm hawataki kuyakubari na wamekuwa wapiga vinubu wazuri na wasijue nini wanachosimamia. Chama kuwa na sera madhubuti ni mtaji hasa kusimamia wanachoamini. Sasa, vijana wenzetu wamekuwa wapiga mruzi wazuri na kucheza nyimbo ambazo sio nzuri, ni wepesi kutumika.Ni kosa kurudia makosa ya 2015,chadema ingeshindwa vibaya 2015 chini ya ideology ya viongozi wa chama chetu kama Dr Slaa tuliyemwamini na akagombea hata angepoteza vibaya bado tungekuwa na imani 100% maana tunajua ideology tunayosimama,2015 wakaleta majamaa wa ccm,makosa yameonekana halafu mwaka huu tena kwa makusudi?hapana aisee