Uchaguzi 2020 Naapa sintapigia kura CHADEMA mgombea akiwa Membe

Uchaguzi 2020 Naapa sintapigia kura CHADEMA mgombea akiwa Membe

Kikura chako kimoja kama dawa hakina faida ndugu ata usipo piga, sisi wa lumumba team membe tutamuongezea tu
 
ila wajameni sio fair

Lissu ndiye turufu ya ushindi kwa upinzani

kuna LA kujifunza kutoka kwa Slaa,vinginevyo ni kujizika maxima

na Sitashangaa Lissu akitimkia CCM.!?
 
Wasilete zile tabia za 2015,watu gani hawajifunzi
ila wajameni sio fair

Lissu ndiye turufu ya ushindi kwa upinzani

kuna LA kujifunza kutoka kwa Slaa,vinginevyo ni kujizika maxima

na Sitashangaa Lissu akitimkia CCM.!?
 
Nani asiye jua we ni CCM.. tunajua CCM unaogopa membe akigombea kupitia chadema.
 
Hata usipopiga kura membe anashinda uteuzi wa urais via cdm saa mbili asubuhi
 
Hawawezi rudia kosa again,kumpa mamluki pandikizi la chama chakavu then anarudi kuunga juhudi.Hizi ni sarakasi za ccm kila uelekeapo uchaguzi.Huyo aende cuf,au tlp akagombee.
 
Kaa na kura yako subiri mchungaji Msigwa utampa
 
Unajuaje utafika Oktoba?

Unaweza ukasema ivyo ukatoka kazini ukagongwq gari ukafa
 
Back
Top Bottom