johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee zege halilali.Kwani tayari ? Au propaganda
We hujui kwa yeye kuhamasisha hivi kunaweza kusababisha kura nyinyi zaidi? Hata mimi sitampigia.Kura zako ni ngapi bwashee.!
Ingekuwa chama si Mali binafsi Membe asingetimuliwaNdio raha ya kumiliki Sacco's [emoji23]
Whoa whoa hold on! what!?πππNinayo akili timamu we ndo mwokota makopo kaingia JF
Hata kama akifa jibu amesema hapigi kura tuππ, we dare to talk openly.Unajuaje utafika October?
unaweza ukasema ivyo ukatoka kazini ukagongwq gari ukafa