Uchaguzi 2020 Naapa sintapigia kura CHADEMA mgombea akiwa Membe

Mkuu, akina salary slip, cry nini sijui na kenge lao, watakushambulia vibaya sana na utaonekana msaliti. CDM hawaruhusu kukosolewa. Wote wanaofanya kama wewe, ushambuliwa na hawa jamaa na kuambiwa wasaliti au ccm hata kama ni kwa nia nzuri tu.
Mungu awapitishe salama wasiingie mtego wa 2015 kwa haya makapi ya ccm tena.
 
We ukiacha sisi upinzani damu tutapiga tunataka mtu atakaye mtikisa kinara wao.
Safari hii ujanja kwa ujanja
 
Jaribu kuwa na subra na tega sikio mara nyingi kusikiliza zaidi kuliko kuongea...kumbuka kilicho kufanya umpigie Lowassa kura 2015 kitakurudisha mstarini 2020.
 
Ni kosa kurudia makosa ya 2015,chadema ingeshindwa vibaya 2015 chini ya ideology ya viongozi wa chama chetu kama Dr Slaa tuliyemwamini na akagombea hata angepoteza vibaya bado tungekuwa na imani 100% maana tunajua ideology tunayosimama,2015 wakaleta majamaa wa ccm,makosa yameonekana halafu mwaka huu tena kwa makusudi?hapana aisee
 
Hata mimi na ndugu zangu wote, nitawashawishi kutokupgia kura watu wasiokuwa na malengo ya muda mrefu, wanaosubil waliokataliwa ccm wao wanawapokea na kuwapa nafasi kubwa
 

Utampigia nani sasa? by the way umesha hakiki kasi yako ya kupigia kura?
 
Chadema wakimsajili Membe, Lisu anahamia CCM na kuteuliwa kuwa mmoja ya watendaji wa juu sana serikalini.
 
Kuwa flexible siasa ni upepo.
 
Exactly, makosa ambayo wanafiki wa cdm hawataki kuyakubari na wamekuwa wapiga vinubu wazuri na wasijue nini wanachosimamia. Chama kuwa na sera madhubuti ni mtaji hasa kusimamia wanachoamini. Sasa, vijana wenzetu wamekuwa wapiga mruzi wazuri na kucheza nyimbo ambazo sio nzuri, ni wepesi kutumika.
Ni bora cdm ya kina slaa coz ilijenga chama na kutueleza ukweli. Na hicho ndio tulichokipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…