Nabi afukuzwe haraka Sana

Ngoja akusikie Tate Mkuu akushukie kama mwewe
 
mpumbavu wewe usiyekuwa na shukrani
 
Nabi abaki aje asimulie kama yule kocha wa KIPANGA FC na katibu wa KIPANGA FC alisema ''nimedhalilika sana, hata watoto wangu wananicheka na kunidharau natamani hata nipotee kwa muda''
 
Seriously Yanga MMEHARIBU

Th funny thing is that, we will see people who will come up and defend this barbaric & nonsensical act instead of condemning it.

This is why some parts of Africa will continue to be like this.

A bad behavior is a bad one. Simple.

#CAFCCwithMicky #TotalEnergiesCAFCC
 
Jamani tatizo ni kwamba watu wengi humu ni vijana wadogo na ujio wa hii mitandao ndio imewafanya wafahamu kwamba kuna klabu inaitwa 'Club Africaine' kutoka Tunisia.

Hii ni klabu kubwa ktk bara hili na imewahi kutwaa taji la klabu bingwa Afrika mwaka 1991 hivyo huwezi ukailinganisha na timu yoyote ya Tanzania na hata ikiitoa Yanga wala haitakuwa ajabu ila Yanga ikiitoa ndio itakuwa ni ajabu kubwa sana.

Hii timu ina rekodi Afrika ambayo hakuna timu yoyote ya Tanzania inaweza kufikia, mjaribu kuifuatilia muone badala ya kupiga tu kelele humu.
 
Mimi naona si sawa kumtupia lawama zote Nabi, katufikisha pazuri sana. Aachwe mpaka ligi kuu ya NBC iishe... shida naiona iko kwa wachezaji, huenda kuna kamgomo humo, ama wanakuwa na presha na mechi za kimataifa.
Kati ya makocha wa Yanga waliopita, Nabi nimemuelewa, kupoteza mchezo ama kutoka draw si sababu ya kumtimua kocha, tutabadilisha kila uchwao...
Nasimama na Nabi...
 
Unbeaten ya 46 leo kocha mwenye records kama hyo mnataka mumfukuze subirini kwanza amalize mechi ya tunisia
 
Kweli kabisa simba angekutana na zalan angekufa nyingi
 
Mechi za kunujua marefa na mabeki
 
Acheni mihemko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…