Nabi afukuzwe haraka Sana

Mkuu hatuzungumzii historia wala ukubwa wa team. Tunazungumzia mechi ya leo. Uwezekano wa kushinda ulikuwa mkubwa tu. Kocha na Team kwa ujumla wametuangusha.
 
Kudadadadadadadeq !!!!?
Your browser is not able to display this video.
 
Duh wenye akili timamu wanajua kuwa hii unbeaten ni kwa hisani ya miamala ya Tigopesa !!!!!!View attachment 2405284
Kusema kwamba rekodi ya Yanga ya kutokufungwa hadi leo ni kutokana na kuhonga waamuzi nafikiri sio kweli.

Nasema hivyo kwa sababu mechi zote zinaonyeshwa na waga tunaziona live, sawa inawezekana kuna magoli yanayotia tashwishi lkn hiyo ni kwa hata timu ya Simba vilevile.

Lakini hizo timu pinzani kwa kweli hawajafunga goli lolote halali eti likakataliwa, sikumbuki kuona hilo likitokea.
 
Mkuu hatuzungumzii historia wala ukubwa wa team. Tunazungumzia mechi ya leo. Uwezekano wa kushinda ulikuwa mkubwa tu. Kocha na Team kwa ujumla wametuangusha.
Nabi uwezo wake ndio umefikia hapo, hakuna miujiza mingine anayoweza kufanya.

Huwezi ukategemea kucheza formation ya 4 2 3 1 kila siku ukategemea kushinda. Mayele akipata mabeki wazuri peke yake hawezi kufurukuta mbele ni lazima awe na mshambuliaji mwingine bora kumzidi.

Lkn utaniambia, wakicheza tena hiyo formation ya 4 2 3 1 kwenye mchezo wa marudiano Tunis utaona watakavyo kogeshwa magoli.
 
Najiuliza yanga kusajili kwa mamilioni ya shilingi ndio matokeo haya
 
Ukiwa team ndogo lazima ukutane na team kubwa. Simba yuko level zingine ni team kubwa anakutana na team ndogo.
 
Hasira za mkizi hizi......Cha muhimu bado Yanga ni unbeaten.
 
Blaza kuwa na huruma basi,ana familia ujue
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa kocha anaeifunga Simba ndo kocha Bora kwenu
 
Momeshangaa sana leo hii yanga kushindwa kupata goli kwq vibonde kama hawa ambao hata wachambuzi wote wa bongo waliwadisi
leo wale wale wachambuz washageuka... et Club Aftica sio kipimo kwa yanga! wale jamas wapo juu sana kuliko yanga
 
Sisi ni unbeaten embu tuachie team yetu kama umeichoka.
 
Kwa kocha unbitten, miaka miwili, ndio mumfukuze?
Muda wote huu mlikuwa mnatetema na Mayele tu basi kushangiia iumfunga Simba na Ihefu sc.

Hivi Leo Mayele ni wa kulaumiwa jamani?
 
Acha utani wewe, Nabi bado yupo sana. Nabi ana michezo 50 bila kufungwa! Utapata wapi kama yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…