Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

It's football hongera mtani,furaha ikizidi Sana inakuwa kilio kilichobaki ni kufocus na mechi za kimataifa tuchange karata zetu mapema
 
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo.

"Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na mimi kuwa ile haikuwa kona halali, ilipaswa iwe goal kick ila ikaamuliwa kuwa ni kona na hatimae tukafungwa goli la haraka," aliongeza Nabi.

View attachment 2590310
ukiona kocha mkuu anaanza kulalamikia magoli yaliyofungwa ujue mambo si mazuri kwa upande wake. mwisho atasema na la pili na lenyewe lilikuwa offside.
 
Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na mimi kuwa ile haikuwa kona halali, ilipaswa iwe goal kick ila ikaamuliwa kuwa ni kona na hatimae tukafungwa goli la haraka," aliongeza Nabi.
kwani hamkufanyia mazoezi namna ya kuzuia kona
 
Nabi alizungumza mpaka kipare.Nilisikia akisema namnaa ani.Hebu tutafsirieni wenye kujua kipare.Mshana msaada tafadhali.
Ila ule mbinuko wa Diarra unakera.
 
N way , tufute bao la kwanza libaki bao la 2... bado tumewafunga

Kikubwa wamepigwa..hyo ndo furah yetu
 
Na ile Penalt waliyopewa dhidi ya Geita, mbna hajawahi kusema sio halali??

Afu kumbe kiswahili anakijua vizuri mnoooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa na mlevi akiwa mzima hajui inglish akilewa Sasa anatema yai balaaa
Kufungwaa kunauma mnoooo
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom