Kauli yako inamaana kwakuwa hersi kaletwa na mfadhili ila ingekuwa yeye ndio kamtafuta mfadhili tungesema kafanya makubwa yangaHersi ni nani na mipango yake pale YangaSC hadi sasa amafanikiwa kwa lipi? Toa wafadhili na wadhamini tuone kama YangaSC atafika popote. YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.
Kwa nini Mshindo Msola na Fredrick Mwakelebela walijiondoa na kuunga juhudi za mpambe wa mfadhili? Jibu ni kwamba hawaaminiki na mfadhili na walipewa walichostahili na akawekwa mtu muaminifu kwa Mfadhili ambaye ni Eng. Hersi Said.Kauli yako inamaana kwakuwa hersi kaletwa na mfadhili ila ingekuwa yeye ndio kamtafuta mfadhili tungesema kafanya makubwa yanga
Mfano ni wewe na wengine wanaoamini bila mipango madhubuti kuna siku SimbaSC na YangaSC bila kubuni njia za kujitafutia njia mbadala za mapato nje ya wafadhili watakuja kujikwamua na kuacha kutegemea matajiri.Mental health is really
Bwege Nazi huyo achana nae"Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya."
Sijajua kama umefanya makusudi au kwa bahati mbaya kutotambua juhudi za Eng.Hersi kwenye mafanikio ya Young Africans.
Katika mwaka wake wa kwanza wa uongozi timu imecheza fainali ya CAFCC na kuchukua vikombe vyote vya ndani.
Kwenye Rank za CAF,Eng Hersi ameipokea timu ikiwa ya 75 na pointi 0.5 ila sasa hivi kwenye uongozi wake timu ni ya 16 ikiwa na pointi 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama,mikson na kishingo wametoboa baada ya kuondoka makoloYanga wanga sana,yaani kila anayepita hapo akiondoka hatoboi, itafika muda watu wataogopa kufanya kazi na Yanga.
Makampuni gani unayosema yamedhamini Ligi!?Kabla ya Nabi wamepita makocha wangapi pale YANGA SC na wakashindwa kuleta mafanikio?
Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya.
Mpira wetu una pesa kutoka kwa makampuni yameweka pesa ya kudhamini ligi, hivyo vilabu vyetu walau vinaweza pambania mchezaji kutoka pande yoyote ndani ya Africa na wakampata.
Simba Sc & Yanga Sc wanaweza fanya zaidi ya TP Mazembe, Vita Club, Mamelod n.k ni suala la kujitoa na kuweka tamaa pembeni.
hata kwa kurogwa sirudi.Anarudi utopolo
Hizi roho za kichawi sijui huwa mnatoa wapi tu, kwahiyo maisha ya Nabi yalikuwa yakimilikiwa na Yanga Sc kwamba hakutakiwa kuondoka mpaka pale nyinyi ambapo mngeamua ?Alinyea kambi Yanga,
Alibembelezwa abaki akaona akibaki tutafaidi
Mwache aisome namba
Nani anaenda kumleta mchezaji kama injinia hana kazi?Kabla ya Nabi wamepita makocha wangapi pale YANGA SC na wakashindwa kuleta mafanikio?
Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya.
Mpira wetu una pesa kutoka kwa makampuni yameweka pesa ya kudhamini ligi, hivyo vilabu vyetu walau vinaweza pambania mchezaji kutoka pande yoyote ndani ya Africa na wakampata.
Simba Sc & Yanga Sc wanaweza fanya zaidi ya TP Mazembe, Vita Club, Mamelod n.k ni suala la kujitoa na kuweka tamaa pembeni.
Hakuna njia mbadala angalia timu kubwa zote duniani zinawafadhiliMfano ni wewe na wengine wanaoamini bila mipango madhubuti kuna siku SimbaSC na YangaSC bila kubuni njia za kujitafutia njia mbadala za mapato nje ya wafadhili watakuja kujikwamua na kuacha kutegemea matajiri.
Una akili timamu?Hersi ni nani na mipango yake pale YangaSC hadi sasa amafanikiwa kwa lipi? Toa wafadhili na wadhamini tuone kama YangaSC atafika popote. YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.
Kocha ni weweYule Sio Kocha Kitambo.....
Wachambuzi uchwara Wa Bongo ndo Walimbeba
Muddy ana msaada gani simba"Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya."
Sijajua kama umefanya makusudi au kwa bahati mbaya kutotambua juhudi za Eng.Hersi kwenye mafanikio ya Young Africans.
Katika mwaka wake wa kwanza wa uongozi timu imecheza fainali ya CAFCC na kuchukua vikombe vyote vya ndani.
Kwenye Rank za CAF,Eng Hersi ameipokea timu ikiwa ya 75 na pointi 0.5 ila sasa hivi kwenye uongozi wake timu ni ya 16 ikiwa na pointi 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale jamaa hawana lolote wale wanaringia kazi zao tu wale wakifukuzwa kazi leo wale watakua hohe hahe.YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.
Kweli kabisa....Hakuna KIONGOZI Bora WA MPIRA Tanzania kama Eng Hersi kwa sasa.
1. Usajili Bora WA wachezaji.
Bangala , Mayele, Azizi ki, Aucho na zoazoa ni Top top players.
2 Mafaniko ndani ya Club.
Kupata LIGI UBINGWA WA LIGI KUU, FA, Ngao ya Jamii, 202-21 -2022.
Kucheza Fainali CAFCC.
3.usajili WA WANACHAMA ndani ya club kwa Mfumo Bora na wakisasa electronics.
4. Usimamizi Bora WA Jersey na mechandize za Club
Nyingine nitamalizia Baadaye.......
Hao wanashindwa wenyewe,ila nyie mnawapiga misumari kuwakomoa kabisaChama,mikson na kishingo wametoboa baada ya kuondoka makolo