Kauli yako inamaana kwakuwa hersi kaletwa na mfadhili ila ingekuwa yeye ndio kamtafuta mfadhili tungesema kafanya makubwa yangaHersi ni nani na mipango yake pale YangaSC hadi sasa amafanikiwa kwa lipi? Toa wafadhili na wadhamini tuone kama YangaSC atafika popote. YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.