Nabi kapigwa chini FAR Rabbat?

Nabi kapigwa chini FAR Rabbat?

Hersi ni nani na mipango yake pale YangaSC hadi sasa amafanikiwa kwa lipi? Toa wafadhili na wadhamini tuone kama YangaSC atafika popote. YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.
Kauli yako inamaana kwakuwa hersi kaletwa na mfadhili ila ingekuwa yeye ndio kamtafuta mfadhili tungesema kafanya makubwa yanga
 
Kauli yako inamaana kwakuwa hersi kaletwa na mfadhili ila ingekuwa yeye ndio kamtafuta mfadhili tungesema kafanya makubwa yanga
Kwa nini Mshindo Msola na Fredrick Mwakelebela walijiondoa na kuunga juhudi za mpambe wa mfadhili? Jibu ni kwamba hawaaminiki na mfadhili na walipewa walichostahili na akawekwa mtu muaminifu kwa Mfadhili ambaye ni Eng. Hersi Said.
 
Mental health is really
Mfano ni wewe na wengine wanaoamini bila mipango madhubuti kuna siku SimbaSC na YangaSC bila kubuni njia za kujitafutia njia mbadala za mapato nje ya wafadhili watakuja kujikwamua na kuacha kutegemea matajiri.
 
Mtu yeyote, anakuwa na thamani Yanga anapohudumu kwa kipindi husika, akitoka tu huwa wanamuongelea shit
 
"Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya."

Sijajua kama umefanya makusudi au kwa bahati mbaya kutotambua juhudi za Eng.Hersi kwenye mafanikio ya Young Africans.

Katika mwaka wake wa kwanza wa uongozi timu imecheza fainali ya CAFCC na kuchukua vikombe vyote vya ndani.

Kwenye Rank za CAF,Eng Hersi ameipokea timu ikiwa ya 75 na pointi 0.5 ila sasa hivi kwenye uongozi wake timu ni ya 16 ikiwa na pointi 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwege Nazi huyo achana nae
 
Kabla ya Nabi wamepita makocha wangapi pale YANGA SC na wakashindwa kuleta mafanikio?

Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya.

Mpira wetu una pesa kutoka kwa makampuni yameweka pesa ya kudhamini ligi, hivyo vilabu vyetu walau vinaweza pambania mchezaji kutoka pande yoyote ndani ya Africa na wakampata.

Simba Sc & Yanga Sc wanaweza fanya zaidi ya TP Mazembe, Vita Club, Mamelod n.k ni suala la kujitoa na kuweka tamaa pembeni.
Makampuni gani unayosema yamedhamini Ligi!?
 
Alinyea kambi Yanga,

Alibembelezwa abaki akaona akibaki tutafaidi

Mwache aisome namba
Hizi roho za kichawi sijui huwa mnatoa wapi tu, kwahiyo maisha ya Nabi yalikuwa yakimilikiwa na Yanga Sc kwamba hakutakiwa kuondoka mpaka pale nyinyi ambapo mngeamua ?

Kabla Nabi hajaja Yanga Sc hakuwa na maisha ama aliwahi kuja kuwaomba msaada? Acheni mtu apeleke maisha yake namna ambavyo anaona inafaa kwake.

Mtu aache kufata hela kisa wewe Kilimba muuza genge unaechonga mdomo mitandaoni.?
 
Kabla ya Nabi wamepita makocha wangapi pale YANGA SC na wakashindwa kuleta mafanikio?

Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya.

Mpira wetu una pesa kutoka kwa makampuni yameweka pesa ya kudhamini ligi, hivyo vilabu vyetu walau vinaweza pambania mchezaji kutoka pande yoyote ndani ya Africa na wakampata.

Simba Sc & Yanga Sc wanaweza fanya zaidi ya TP Mazembe, Vita Club, Mamelod n.k ni suala la kujitoa na kuweka tamaa pembeni.
Nani anaenda kumleta mchezaji kama injinia hana kazi?
 
Yule Sio Kocha Kitambo.....

Wachambuzi uchwara Wa Bongo ndo Walimbeba
 
Mfano ni wewe na wengine wanaoamini bila mipango madhubuti kuna siku SimbaSC na YangaSC bila kubuni njia za kujitafutia njia mbadala za mapato nje ya wafadhili watakuja kujikwamua na kuacha kutegemea matajiri.
Hakuna njia mbadala angalia timu kubwa zote duniani zinawafadhili
 
Hersi ni nani na mipango yake pale YangaSC hadi sasa amafanikiwa kwa lipi? Toa wafadhili na wadhamini tuone kama YangaSC atafika popote. YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.
Una akili timamu?
 
"Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya."

Sijajua kama umefanya makusudi au kwa bahati mbaya kutotambua juhudi za Eng.Hersi kwenye mafanikio ya Young Africans.

Katika mwaka wake wa kwanza wa uongozi timu imecheza fainali ya CAFCC na kuchukua vikombe vyote vya ndani.

Kwenye Rank za CAF,Eng Hersi ameipokea timu ikiwa ya 75 na pointi 0.5 ila sasa hivi kwenye uongozi wake timu ni ya 16 ikiwa na pointi 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muddy ana msaada gani simba
 
YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.
Wale jamaa hawana lolote wale wanaringia kazi zao tu wale wakifukuzwa kazi leo wale watakua hohe hahe.
 
Sven au kishingo alikuwa kocha wa Simba, tangia ameondoka ameshafundisha timu zaidi ya nne na zote anafukuzwa kwa muda mfupi Ila sijawahi kusikia Simba wanasema kishingo ana laana yao.
Washabiki wa yanga mnapaswa kujua maisha ya mpira yakoje.
 
Hakuna KIONGOZI Bora WA MPIRA Tanzania kama Eng Hersi kwa sasa.

1. Usajili Bora WA wachezaji.
Bangala , Mayele, Azizi ki, Aucho na zoazoa ni Top top players.

2 Mafaniko ndani ya Club.
Kupata LIGI UBINGWA WA LIGI KUU, FA, Ngao ya Jamii, 202-21 -2022.
Kucheza Fainali CAFCC.

3.usajili WA WANACHAMA ndani ya club kwa Mfumo Bora na wakisasa electronics.

4. Usimamizi Bora WA Jersey na mechandize za Club

Nyingine nitamalizia Baadaye.......
Kweli kabisa....
 
Back
Top Bottom