Nabi Katoa Sababu Zilizomuondoa Yanga

Nabi Katoa Sababu Zilizomuondoa Yanga

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
DEBEEDB4-16B8-4383-9B86-6A10FDC23889.jpeg
N
Aliyekuwa kocha wa Yanga SC Nasreddine Nabi ameeleza maamuzi yake ya kutoendelea kuwa na timu hiyo aliyawasilisha mara baada ya mechi dhidi ya TP Mazembe, na tangu hapo hajawahi kukaa mezani na timu hiyo kujadiliana kuhusu mkataba mpya kwani tayari alishawasilisha maamuzi yake Na kwa kipindi hicho alichowasilisha maamuzi hayo,hakuwa na ofa kutoka timu yoyote.

Nabi kupitia ukurasa wake wa Instagram amefafanua kuwa ripoti za mwanae wa kiume ni wakala wake na alikuja Tanzania kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba ni uongo na za kijinga, kwa sababu mwanae bado ni mwanafunzi pia mwanae ni shabiki wa timu,Alikuja Tanzania kuisapoti timu na baba yake

Ameandika Nabi kupitia Insta Story.

Kocha huyo amemaliza kwa kuwaomba watu wasimuhusishe mwanae kwani hahusiki kabisa kwenye maamuzi ya kazi yake.
 
Yanga wanajitia aibu kwa propaganda za kijinga.

Kwani wakinyamaza kimya watadhurika na nini??

Au watoe tamko rasmi kwa kila scenario zinazoendelea ili kuonesha jinsi walivyo professionals...

Yanga ndio klabu inayofanya mpira wa Bongo usiendelee..tubaki kuwa semi pro.

Mna viongozi wa ajabu mnaoshindwa kulinda maslahi ya mikataba ya waajiriwa wenu..

Shame..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Wachambuzi wa Bongo Nyoso sana sijui wamelogwa? Wape picha tu wao wataweka maelezo
 
Yanga wanajitia aibu kwa propaganda za kijinga.

Kwani wakinyamaza kimya watadhurika na nini??

Au watoe tamko rasmi kwa kila scenario zinazoendelea ili kuonesha jinsi walivyo professionals...

Yanga ndio klabu inayofanya mpira wa Bongo usiendelee..tubaki kuwa semi pro.

Mna viongozi wa ajabu mnaoshindwa kulinda maslahi ya mikataba ya waajiriwa wenu..

Shame..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Duh sijajua Kuwa kuna watu wana hasira na uchungu na mafanikio ya Yanga, kumbuka wajinga ndiyo waliiwezesha timu kuchukuwa Kombe mara 2 la Ligi lenye thamani kubwa kuliko kipindi kipindi kingine chochote, hao wajinga ndiyo walioiwezesha timu kufika final ya CAFCC.

Huu ujinga na unprofessional bora uendelee tu, nyambafu
 
Wanaoleta hizo propaganda Wala sio Yanga, Bali ni jirani aliyefeli kwenye mambo yake yote
 
Hujui mpira. So, lolote utakaloongea halina maana.

Hela inaongea lakini haichezi.

Saivi watu wanatoa hela na mpira wanacheza.

GSM kuna muda atachoka..na na ni suala la muda tuu...

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Wanaoleta hizo propaganda Wala sio Yanga, Bali ni jirani aliyefeli kwenye mambo yake yote
Mnajiliwaza..ila kama ingekua ni jirani naby asingeongea..aliyoongea.

Hata kama ni jirani, kwanini klabu isiliweke wazi suala hili??

Mpaka yeye ndio aongee??

Na kwa jinsi alivyosema ni dhahiri kuwa kuna vitu hataki kuvisema professionally..ila anajua tuu wazi huenda hakukua na mkataba halali bali makubaliano tuu ya juu kwa juu..
So, mkimtibua tuu..atawakaanga.

YANGA WAJIFUNZE KULINDA MIKATABA YA WACHEZAJI. NA KAMA HAIWEZI..IWEKE TUU WAZI. SIMPLE.

kufichaficha mambo kisa kuhofia jirani asije kumpata ndio kunawaumiza..maaana majirani zenu washaujua udhaifu wa yanga..wanawatungua tuu kimyakimya..na wakifanikiwa..ndio itawaumiza zaidi.

Shauri lenu..wajinga ndio waliwao.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Yanga wanajitia aibu kwa propaganda za kijinga.

Kwani wakinyamaza kimya watadhurika na nini??

Au watoe tamko rasmi kwa kila scenario zinazoendelea ili kuonesha jinsi walivyo professionals...

Yanga ndio klabu inayofanya mpira wa Bongo usiendelee..tubaki kuwa semi pro.

Mna viongozi wa ajabu mnaoshindwa kulinda maslahi ya mikataba ya waajiriwa wenu..

Shame..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Me nadhan mpira wa bongo pamoja na mapungufu yake unaendelea na kuzid kukua kila siku,mnaosema mpira wa bongo hauendelei mnatumia kigezo gani?!!
 
Yanga wanajitia aibu kwa propaganda za kijinga.

Kwani wakinyamaza kimya watadhurika na nini??

Au watoe tamko rasmi kwa kila scenario zinazoendelea ili kuonesha jinsi walivyo professionals...

Yanga ndio klabu inayofanya mpira wa Bongo usiendelee..tubaki kuwa semi pro.

Mna viongozi wa ajabu mnaoshindwa kulinda maslahi ya mikataba ya waajiriwa wenu..

Shame..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Yanga wamekosea wapi kwenye mkataba wao na Coach NABI..?
 
Yanga wanajitia aibu kwa propaganda za kijinga.

Kwani wakinyamaza kimya watadhurika na nini??

Au watoe tamko rasmi kwa kila scenario zinazoendelea ili kuonesha jinsi walivyo professionals...

Yanga ndio klabu inayofanya mpira wa Bongo usiendelee..tubaki kuwa semi pro.

Mna viongozi wa ajabu mnaoshindwa kulinda maslahi ya mikataba ya waajiriwa wenu..

Shame..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app

Mnajiliwaza..ila kama ingekua ni jirani naby asingeongea..aliyoongea.

Hata kama ni jirani, kwanini klabu isiliweke wazi suala hili??

Mpaka yeye ndio aongee??

Na kwa jinsi alivyosema ni dhahiri kuwa kuna vitu hataki kuvisema professionally..ila anajua tuu wazi huenda hakukua na mkataba halali bali makubaliano tuu ya juu kwa juu..
So, mkimtibua tuu..atawakaanga.

YANGA WAJIFUNZE KULINDA MIKATABA YA WACHEZAJI. NA KAMA HAIWEZI..IWEKE TUU WAZI. SIMPLE.

kufichaficha mambo kisa kuhofia jirani asije kumpata ndio kunawaumiza..maaana majirani zenu washaujua udhaifu wa yanga..wanawatungua tuu kimyakimya..na wakifanikiwa..ndio itawaumiza zaidi.

Shauri lenu..wajinga ndio waliwao.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Ficha ujinga wako wewe, yanga walishatoa statment yao juu ya kuondoka kwa Nabi full stop, ulitaka waongee ukweli gani unaoutaka wewe? Kama alishaaga anaondoka mlitaka yanga ikae nae kuongea nini labda? Na kosa la yanga hapo ni nini? Mnadandia kila tukio kama wendawazimu bila logic ya msingi mmekuwa kama mabaamedi? Mlitaka Nabi akae yanga milele? Iyo mikataba ya wachezaji unayosema ilindwe ni ipi? Kuna mchezaji hana mkataba? Au wewe ni wakala wa hao wachezaji ambao awana mikataba? Kwenye msafara wa mamba na kenge ni wengi, hapa naona tunaangaika na kenge wa ukoloni wenye maumivu makali baada ya kutoka kapa misimu 2 mfululizo wanatafuta furaha yao kwenye kila tukio,,ovyo kabisa!
 
Yanga wanajitia aibu kwa propaganda za kijinga.

Kwani wakinyamaza kimya watadhurika na nini??

Au watoe tamko rasmi kwa kila scenario zinazoendelea ili kuonesha jinsi walivyo professionals...

Yanga ndio klabu inayofanya mpira wa Bongo usiendelee..tubaki kuwa semi pro.

Mna viongozi wa ajabu mnaoshindwa kulinda maslahi ya mikataba ya waajiriwa wenu..

Shame..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Hapo Yanga kahusika nini?
 
Wanaoleta hizo propaganda Wala sio Yanga, Bali ni jirani aliyefeli kwenye mambo yake yote
Hersi alivyosema kuwa Nabi atakuwepo kwa miaka miwili zaidi wakati anahojiwa na Wasafi Fm bàada ya kurejea kutoka Algeria kwenye fainali nae ni kutoka kwa "jirani aliyefeli" ?
 
Back
Top Bottom