Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kocha kawamaindi sana hata mzize kuna muda kocha aliwaka sana juu ya maamuzi yake uwanjaniAmbundo, Bryson, Mauya nadhani ujumne umewafikia
Mtoe mauya weka farid musaAmbundo, Bryson, Mauya nadhani ujumne umewafikia
Kwa hiyo ugawane naye laana yako siyoMwanangu akishabikia Yanga na Man U namlaaani.
Punguza makasiriko sio mazuri!Mwanangu akishabikia Yanga na Man U namlaaani.
Mauya mechi anazocheza anazungusha fresh tu labda yule farid mussa jamaa toka amesajiriwa mpira wake ni ule ule wa kukimbia kimbia tu kama kuku aliekatwa kichwaAmbundo, Bryson, Mauya nadhani ujumne umewafikia
NinjaMauya mechi anazocheza anazungusha fresh tu labda yule farid mussa jamaa toka amesajiriwa mpira wake ni ule ule wa kukimbia kimbia tu kama kuku aliekatwa kichwa
Kwa ujumbe wake nafikiri atakua amewalwnga wachezaji waliocheza game ya leoNinja
Ngushi
Hawa nadhani msimu ujao hawawezi kuwa Yanga!!Ninja
Ngushi
Siyo kweli, popote atakapopenda atakaaMwanangu akishabikia Yanga na Man U namlaaani.
Ambundo, Bryson, Mauya nadhani ujumne umewafikia
Yupo bongo ila ni majeruhi. Mechi ile ya TP Mazembe na Yanga aliwatakia wachezaji kheri ya kupambana na kupata point tatu.Hivi Morison yuko wapi?
Mwanangu akishabikia Yanga na Man U namlaaani.
Utatoa laana kwa watoto wako wote maana siku zote watoto wanapenda kitu kizuri.[emoji1][emoji1]Mwanangu akishabikia Yanga na Man U namlaaani.
Acha ukuda Mzee 😅😅Mwanangu akishabikia Yanga na Man U namlaaani.