Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
KUNA WACHEZAJI WAMERIDHIKA HAWATAKI KUBADILIKA.
“Kuna wachezaji wameridhika hawataki kubadilika hauwezi kuwa timu kubwa kama Yanga na akili yako haitaki kwenda mbele
Kuna wachezaji Wapo Yanga Kwa miaka miwili lakini Hawatak kubalikia wameridhika wanaona kuwa yanga inatosha,Hawataki kusonga mbele
Yanga ni klabu kubwa lazima mchezaji aendane na ukubwa wa klabu ni klabu inayopambana kupata mafanikio pia wachezaji lazima wawe na kiu ya mafanikio pia. Mchezaji asiyetaka kubadilika kwangu hana nafasi
Kocha Nabi baada ya mchezo wa leo dhidi ya KMC.