NABI: kuna wachezaji Hawataki kubadilika kwangu hawana Nafasi

NABI: kuna wachezaji Hawataki kubadilika kwangu hawana Nafasi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
KUNA WACHEZAJI WAMERIDHIKA HAWATAKI KUBADILIKA.



“Kuna wachezaji wameridhika hawataki kubadilika hauwezi kuwa timu kubwa kama Yanga na akili yako haitaki kwenda mbele
Kuna wachezaji Wapo Yanga Kwa miaka miwili lakini Hawatak kubalikia wameridhika wanaona kuwa yanga inatosha,Hawataki kusonga mbele
Yanga ni klabu kubwa lazima mchezaji aendane na ukubwa wa klabu ni klabu inayopambana kupata mafanikio pia wachezaji lazima wawe na kiu ya mafanikio pia. Mchezaji asiyetaka kubadilika kwangu hana nafasi



Kocha Nabi baada ya mchezo wa leo dhidi ya KMC.
40837322-340C-4523-8318-5592E9EDEE3E.jpeg
 
Magoigoi yasiojielewa.
Farid
Ninja
Ambundo

Waliorogwa na wasiojitambua.
Ngushi
Nkane
Bryson
Mwamnyeto
 
Back
Top Bottom