mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
Wakuu salama,
Nimeangalia mechi ya timu yangu pendwa ya wananchi jana nikagundua beki yetu inaonekana mbovu na kujichanganya simply because viungo wakabaji hawafanyi kazi yao vizuri Bigirimana na Aucho ni wazito sana wanashindwa kuendana na kasi za vijana!
Nabi mrudishe Bangala number sita then ingia sokoni dirisha dogo leta bonge la beki wa kati!