Nabi: Mrudishe mzee wa kazi chafu Yanick Bangala acheze number 6, Bigirimana na Aucho watakufelisha mapema

Kwa sasa tukubali tu Yanga hatuna golikipa namba 1, beki namba 3 na pia beki wa kati wa uhakika.

Na kwenye mechi ya jana, nadhani Profesa Nabi anawajibika moja kwa moja kwa yale matokeo. Kiukweli upangaji wake wa timu kipindi cha kwanza ulikuwa ni majanga matupu.
Punguzeni lawama jamani. Duniani hakuna kipa asiyefungwa. Hivi kweli goli la kwanza la Azam dhidi ya Yanga waweza kumlaumu kipa? Ule mpira ulikuwa deflected na kichwa cha Amoah ukaenda uelekeo tofauti na mahesabu ya Kipa. Vinginevyo mnataka malaika waje wacheze.
 
Nani amelalamika! Mimi nimetoa tu mtazamo wangu. Hivyo unatakiwa kutofautisha kati ya lawama, na malalamiko. Na ninaomba nieleweke vizuri.
 
Kwa sasa tukubali tu Yanga hatuna golikipa namba 1, beki namba 3 na pia beki wa kati wa uhakika.

Na kwenye mechi ya jana, nadhani Profesa Nabi anawajibika moja kwa moja kwa yale matokeo. Kiukweli upangaji wake wa timu kipindi cha kwanza ulikuwa ni majanga matupu.
Kabisa ile draw ni ya Nabi, alipanga kikosi cha hovyo sana, sasa ni wakati wa kuimarisha first 11 kwanza ikishakaa level ndiyo then unaanza kuifanyia rotation taratibu, hii panga pangua hii tutajukuta kwenye champion league bado tunasuasua
 
Lomalisa yuko vizuri hakuna sababu ya kutafuta beki namba tatu kwasasa.
 
Yaani we sijui umeandika ukiwa usingizini...huwezi kumdharau Diarra kwa sababu ya mechi ya jana maana hata kipa wa azam alitoa boko goli la Fei mpira ndio ulivyo.
Halafu jana Lomalisa alionesha performance nzuri kuliko Djuma shaban.
Jamaa yupo sahihi sana embu anzia mechi ya fainali ya FA ni kufungwa tu kwa Daira tena magoli ya ovyo ovyo tu
 
Nikiona mtu anamtilia shaka Joyce nasema hiiiiiiiiiiii!! Yule ni mtu na nusu, na siku zote nashangaa anayeshauli bangala kucheza beki ni nani wakati akicheza 6 ndo ubora wake haswa unaonekana na anamfanya Aucho kuonekana, siku zote mwamyeto na Job wakicheza pamoja wanapeform balaa lkn sijui makocha wao kuna kitu gani wanakiona mpaka kuwabadilisha. Ukweli Diara toka msimu umeanza anapwaya bora apigwe benchi kwanza akili imkae.
Mfano ile mechi ya juzi Diarra alikosea wapi?
 
Back
Top Bottom