Nabi: Mrudishe mzee wa kazi chafu Yanick Bangala acheze number 6, Bigirimana na Aucho watakufelisha mapema

Punguzeni lawama jamani. Duniani hakuna kipa asiyefungwa. Hivi kweli goli la kwanza la Azam dhidi ya Yanga waweza kumlaumu kipa? Ule mpira ulikuwa deflected na kichwa cha Amoah ukaenda uelekeo tofauti na mahesabu ya Kipa. Vinginevyo mnataka malaika waje wacheze.
 
Nani amelalamika! Mimi nimetoa tu mtazamo wangu. Hivyo unatakiwa kutofautisha kati ya lawama, na malalamiko. Na ninaomba nieleweke vizuri.
 
Kabisa ile draw ni ya Nabi, alipanga kikosi cha hovyo sana, sasa ni wakati wa kuimarisha first 11 kwanza ikishakaa level ndiyo then unaanza kuifanyia rotation taratibu, hii panga pangua hii tutajukuta kwenye champion league bado tunasuasua
 
Lomalisa yuko vizuri hakuna sababu ya kutafuta beki namba tatu kwasasa.
 
Yaani we sijui umeandika ukiwa usingizini...huwezi kumdharau Diarra kwa sababu ya mechi ya jana maana hata kipa wa azam alitoa boko goli la Fei mpira ndio ulivyo.
Halafu jana Lomalisa alionesha performance nzuri kuliko Djuma shaban.
Jamaa yupo sahihi sana embu anzia mechi ya fainali ya FA ni kufungwa tu kwa Daira tena magoli ya ovyo ovyo tu
 
Mfano ile mechi ya juzi Diarra alikosea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…