demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Prof Nabi amenishangaza sana leo.
Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC alimuhitaji kwa Mahojiano mafupi, Nabi akakubali.
Swali la kwanza kwa kocha Nabi lilikuwa:
“Ni kwa namna gani matokeo ya mbio za ufungaji bora msimu huu zitamuathiri Mshambuliaji wako Fiston Mayele kwenye msimu ujao wa LigiKUU?”
Prof NABI akajibu:
Nadhani kumaliza kwake katika nafasi ya pili kumfanye asibweteke msimu ujao, ni matumaini yangu kuwa msimu ujao amalize akiwa na zaidi ya magoli aliyomaliza nayo katika msimu huu.