NABI: Nataka Fiston Mayele awe na kisasi cha magoli katika msimu mpya wa 2022/23

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Prof Nabi amenishangaza sana leo.

Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.

Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC alimuhitaji kwa Mahojiano mafupi, Nabi akakubali.

Swali la kwanza kwa kocha Nabi lilikuwa:

“Ni kwa namna gani matokeo ya mbio za ufungaji bora msimu huu zitamuathiri Mshambuliaji wako Fiston Mayele kwenye msimu ujao wa LigiKUU?”

Prof NABI akajibu:

Nadhani kumaliza kwake katika nafasi ya pili kumfanye asibweteke msimu ujao, ni matumaini yangu kuwa msimu ujao amalize akiwa na zaidi ya magoli aliyomaliza nayo katika msimu huu.
 
Alikuwa mbele karibua magoli 4 ,akabweteka mara kakutwa
 
Lawama zimeanza kuelekezwa kwa wachezaji..!

Huyu Mayele msimu ujao hata goli 9 hafikii.. Mpole, Manzoki, Phiri wana kazi maalumu.
Screenshot_20220629-190444~2.jpg
 
Prof Nabi amenishangaza sana leo.

Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.

Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC alimuhitaji kwa Mahojiano mafupi, Nabi akakubali.

Swali la kwanza kwa kocha Nabi lilikuwa:

“Ni kwa namna gani matokeo ya mbio za ufingaji bora msimu huu zitamuathiri Mshambuliaji wako Fiston Mayele kwenye msimu ujao wa LigiKUU?”

Prof NABI akajibu:

Nadhani kumaliza kwake katika nafasi ya pili kumfanye asibweteke msimu ujao, ni matumaini yangu kuwa msimu ujao amalize akiwa na zaidi ya magoli aliyomaliza nayo katika msimu huu.
Na Mpole nae ataongeza zaidi idadi ya magoli msimu ujao. Yule Kiongozi wa TFF alisema juzi msimu huu ligi ilikuwa ngumu lakini msimu ujao itakuwa ni ngumu zaidi
 
Prof Nabi amenishangaza sana leo.

Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.

Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC alimuhitaji kwa Mahojiano mafupi, Nabi akakubali.

Swali la kwanza kwa kocha Nabi lilikuwa:

“Ni kwa namna gani matokeo ya mbio za ufungaji bora msimu huu zitamuathiri Mshambuliaji wako Fiston Mayele kwenye msimu ujao wa LigiKUU?”

Prof NABI akajibu:

Nadhani kumaliza kwake katika nafasi ya pili kumfanye asibweteke msimu ujao, ni matumaini yangu kuwa msimu ujao amalize akiwa na zaidi ya magoli aliyomaliza nayo katika msimu huu.
Huyo mayele biashara ndiyo imeishia hapo,msimu ujao goli atalitafuta Kwa tochi
 
Na Mpole nae ataongeza zaidi idadi ya magoli msimu ujao. Yule Kiongozi wa TFF alisema juzi msimu huu ligi ilikuwa ngumu lakini msimu ujao itakuwa ni ngumu zaidi
tatizo wachezaji wa kibongo,huyo mpole msikute nae ndo kamaliza hivyo
 
Back
Top Bottom