Mtakuja kusema June,2023.Manzoki na Moses Phiri watakuwa wapi?
Mayele ndo basi tena! Safarin yake imeishia hapo! Ni sifa kwa watanzania kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa.Mayele ataanzia alipoishia. Kaporomoka sana.. goli moja ktk dk 270!
anakoelekea atasema kabaguliwaLawama zimeanza kuelekezwa kwa wachezaji..!
Huyu msimu ujao hata goli 9 hafikii.. Mpole, Manzoki, Phiri wana kazi maalumu.View attachment 2276614
Na Mpole nae ataongeza zaidi idadi ya magoli msimu ujao. Yule Kiongozi wa TFF alisema juzi msimu huu ligi ilikuwa ngumu lakini msimu ujao itakuwa ni ngumu zaidiProf Nabi amenishangaza sana leo.
Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC alimuhitaji kwa Mahojiano mafupi, Nabi akakubali.
Swali la kwanza kwa kocha Nabi lilikuwa:
“Ni kwa namna gani matokeo ya mbio za ufingaji bora msimu huu zitamuathiri Mshambuliaji wako Fiston Mayele kwenye msimu ujao wa LigiKUU?”
Prof NABI akajibu:
Nadhani kumaliza kwake katika nafasi ya pili kumfanye asibweteke msimu ujao, ni matumaini yangu kuwa msimu ujao amalize akiwa na zaidi ya magoli aliyomaliza nayo katika msimu huu.
Ndo hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manzoki na Moses Phiri watakuwa wapi?
Ateteme tumuone, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lawama zimeanza kuelekezwa kwa wachezaji..!
Huyu Mayele msimu ujao hata goli 9 hafikii.. Mpole, Manzoki, Phiri wana kazi maalumu.View attachment 2276614
Huyo mayele biashara ndiyo imeishia hapo,msimu ujao goli atalitafuta Kwa tochiProf Nabi amenishangaza sana leo.
Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC alimuhitaji kwa Mahojiano mafupi, Nabi akakubali.
Swali la kwanza kwa kocha Nabi lilikuwa:
“Ni kwa namna gani matokeo ya mbio za ufungaji bora msimu huu zitamuathiri Mshambuliaji wako Fiston Mayele kwenye msimu ujao wa LigiKUU?”
Prof NABI akajibu:
Nadhani kumaliza kwake katika nafasi ya pili kumfanye asibweteke msimu ujao, ni matumaini yangu kuwa msimu ujao amalize akiwa na zaidi ya magoli aliyomaliza nayo katika msimu huu.
tatizo wachezaji wa kibongo,huyo mpole msikute nae ndo kamaliza hivyoNa Mpole nae ataongeza zaidi idadi ya magoli msimu ujao. Yule Kiongozi wa TFF alisema juzi msimu huu ligi ilikuwa ngumu lakini msimu ujao itakuwa ni ngumu zaidi
hahahahaha,raha sana kusoma maoni ya raia wa tanzania,iwe ktk siasa,au michezo raha sanaHuyo mayele biashara ndiyo imeishia hapo,msimu ujao goli atalitafuta Kwa tochi
Watakuwa kucheza redeManzoki na Moses Phiri watakuwa wapi?
Kwani washambuliaji wenu John Bocco, Meddie Kagere, Cris Mugalu na yule swahiba wako Kibu Denis walikuwa wapi msimu huu kiasi cha kushindwa kuvuka hata magoli 10 tu kwa kila mchezaji?Manzoki na Moses Phiri watakuwa wapi?