Nabi siyo Kocha, anapanga timu kwa kufata kelele za mashabiki

Nilipita mitandaoni kila shabiki wa yanga anataka mwamnyeto acheze Na bangala acheze sita kitu ambacho Kocha hataki kibwana aanzie benchi namba yake aanze monalisa Joyce
Yeye Kocha anataka Kati ya feisal Na Aziz ki mmoja aanzie benchi mwingne aanze nyie mashabiki Na viongozi wenu mnataka wote waanze Yale yale Una lampard, Steven Gerald, Na scholes unataka wote waanze kitu ambacho hakiwezekani
 
Wakulaumiwa ni viongozi.

Walipopigwa 2-0 na Vipers wakaona isiwe kesi. Hawakutaka kusikia tena mechi za kirafiki za kimataifa.

Maandalizi yote wakaenda Avic town wakawa wanacheza na Mbuni Fc then wakasema wana timu ya mashindano ya kimataifa.
Hela hawana
 
Mwamnyeto Kwa mechizetu za ligi ya ndani anao uwezo wa kucheza vizuri, Shida aliyonayo mwamnyeto bado mzito, bado Hana uwezo wa ku command eneo lote la Ulinzi, Anahitajika kufanya mazoezi mengi ya kutafuta wepesi na unyumbufu.

Anatakiwa aongee na ku control kwakua ata Kipa Si muongeji na anatatizo la kutocheza krosi, yeye anatakiwa awapange wenzake na kuongea muda wote na kucheza Kwa mamlaka.
 
Kwa Yanga ile Mbumbumbu FC lazima anye!😁😁😁😁
 
h
Kuna majitu mapumbavu sana nchi hii! Yaani TP Mazembe waliotolewa mashindanoni nao hawana kocha? Nabi yupo sana na Jumamosi anambatiza mtu kwa moto!
ujui kama Tp mazembe washatimua kocha
 
Mimi ni Simba ila Kocha wenu yupo vizuri mno na mpira Yanga wamecheza ni vile hawakuwa na bahati ya kufunga,kumsema hivi huyo Kocha sio poa amefanya kazi kubwa na anaweza
 
Na tukiwafunga Tarehe 23 ndo mtaauana
 
Yaan wabongo bwana tunashangaza sana, leo hii Nabi anaonekana siyo kocha....!! Kwa hali kama hiyo basi duniani kote hamna kocha. Yaan hata kocha apate ushindi miaka miwili mfululizo lakin akifungwa mara moja tayar siyo kocha.
Kocha wa kawaida tu wa ndani ukimpa hiki kikosi cha Yanga hashindwi kuwafunga Mbeya City na hawa akina Mtibwa. Nabi anapaswa kufanya jambo tofauti hasa mechi za kimataifa. Sikumbuki kama kashinda game yoyote ya kimataifa ambayo ni mechi ya mashindano. Mafanikio ya Yanga isiwe tu kumfunga Simba.
Nabi anapaswa apewe taarifa kabisa, mechi ya Shirikisho aende na mabegi yake uwanjani, Yanga ikishindwa kuingia makundi aunganishe huko huko kurudi alikotokea.
 
Ulitaka afanye tofauti na hivyo ili uongee tena..
Na pengine angepanga anavofikiria yeye tungepigwa 3-0 jana saa hizi ingekuaje?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mechi ya coastal union na mechi ya vipers pamoja na ile derby kipindi cha kwanza waliocheza simba kile ndo kilikuwa kipimo cha ubora wa Caf champions league ila mkapuuzia sasa hivi kazi kulaumiana tu.
 
Kocha lazima uwe na falsafa yako si kufata kelele za mashabiki kwa sababu mashabiki hawana zuri wanabadilika badilika

Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
 
Kuna majitu mapumbavu sana nchi hii! Yaani TP Mazembe waliotolewa mashindanoni nao hawana kocha? Nabi yupo sana na Jumamosi anambatiza mtu kwa moto!
Tatzo bongo kila mtu ana akili sana kuliko wengine wote, linapofika suala la matokeo ya mpira ukomavu unahitajika sana kuliko mihemko, leo hii simba wanafanya vizur wanaishambulia yanga kila sehemu lakin ikifungwa mechi moja utaona wanauliza lile swali lao "Matola anafanya nn hapo simba ? "
 
Yaan hukumbuki km yanga aliifunga zalan....!! kweli unasahau haraka sana
 
Yaan hukumbuki km yanga aliifunga zalan....!! kweli unasahau haraka sana
Samahani mkuu, mimi ni shabiki kindakindaki wa Yanga. Naomba nikuulize, Zalan ni timu ya kujiringia kwamba tumeifunga kweli?
 
Yaan wabongo bwana tunashangaza sana, leo hii Nabi anaonekana siyo kocha....!! Kwa hali kama hiyo basi duniani kote hamna kocha. Yaan hata kocha apate ushindi miaka miwili mfululizo lakin akifungwa mara moja tayar siyo kocha.
Katolewa champion league. WW UNATAKAJE
 
Kuamin km kila yanga anapofungwa ni kwamba haina uwezo lakini inaposhinda wanatoa hongo huo ni ushabiki maandazi...!! huwa hoja km hz sinaga muda wa kuzijadili
Kuna mtu kakulazimisha uzijadili hoja hizi, au ni stress za ufukara zinakupeleka vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…