kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 539
- 637
Nilipita mitandaoni kila shabiki wa yanga anataka mwamnyeto acheze Na bangala acheze sita kitu ambacho Kocha hataki kibwana aanzie benchi namba yake aanze monalisa JoyceNani bado yupo sana na ataendelea kuwakanda, Timu yetu Ipo vizuri kinacho hitajika ni Adjustment kidogo. Kama kocha utaki ushauri hauwezi kufanikiwa, Makocha wote Duniani wanafanya hivyo.
Sio kwamba kocha hajui anacho kifanya, ila anawaonyesha nyinyi kwanini hafanyi hivyo mnavyotaka na mjiridhishe Kwa kuona.
Amegoma kumchezesha mwamnyeto na Jana kamchezesha na tumeona kilichotokea, Ataki kumchezesha Lomalisa na Jana ame mchezesha tukaona maana ilibidi Kibwana arudi kushoto.
Nabi ni kocha wa uhakika na anajua anacho fanya.
Mechi kama na Simba unaweza kumchezesha Mwamnyeto na Lomalisa kwenye nafasi zao na usione madhara Yao ,Kimataifa unaona mapungufu ya mojakwamoja.
Yeye Kocha anataka Kati ya feisal Na Aziz ki mmoja aanzie benchi mwingne aanze nyie mashabiki Na viongozi wenu mnataka wote waanze Yale yale Una lampard, Steven Gerald, Na scholes unataka wote waanze kitu ambacho hakiwezekani