We umepuuzwa na jamii forum nzima ndio maana ukaitwa jina la kipekee "POPOMA" maana yake kubwa jinga, mshamba,limbukeni na shoger la kutupwa.
Angalia ulivyo Mpumbavu, Mshamba na Mkurupukaji mkubwa na kumbe nikiws nawadharau huwa sikosei ( siwakosei )
Neno Popoma ( lenye maana ya Mpumbavu ) Mimi GENTAMYCINE ndiyo nililibuni kutoka Lugha mbili za Wazaramo na Wandengereko baada ya Kuyatohoa maneno Mawili na Kujitambulisha rasmi hapa mwaka 2013 nilipojiunga JamiiForums kama Member.
Na kwa Kujiamini kabisa Ushahidi wake upo hasa baada ya neno hili nililolibuni ( likimaanisha Mtu Mpumbavu ) kutokea Kupendwa na wengi Kimatumizi kiasi kwamba mpaka Maeneo mengine nje ya hapa JamiiForums Watu wanalitumia.
Kuhusu Hoja yako kuwa Mimi ni Member ninayeongoza kwa Kupuuzewa JamiiForums nzima hujakosea kwani huko Kupuuzwa Kwangu ndiyo kunanifanya nisomwe ( nifuatiliwe ) mno na Rais wako Samia, Rais Mstaafu Kikwete, Mkuu wa Majeshi Jenerali Mabeyo, Poti wangu wa Kizanaki IGP Sirro, Mkuregenzi wa Usalama wa Taifa Diwani pamoja na 65% ya Watendaji wake ( TISS Officials ). aliyewahi kuwa Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Rais ( PSU ) James Khaji kabla ya kuwa Commissioner wa Dawa za Kulevya ( DCEA ), Balozi Wilbroad Slaa, 50% ya Mawaziri, 80% ya Wabunge ww JMT, Wanajeshi, Wanachuo na Wahadhiri wao, Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji na Wachambuzi ) wa Vipindi vya Michezo, Viongozi na Wanachama wa Klabu ya Simba, Watu wa Kawaida ila Werevu sana Jamvini, 75% ya JamiiForums Members ( ukiwemo Wewe ambaye pamoja na kusema naongozwa kwa Kupuuzwa ila 24/7 huachi Kusoma Mada zangu na Michango yangu mbalimbali.
Ni kweli huku Kupuuzwa Kwangu ndiyo pia kunanifanya Kila Siku idadi ya 'Followers' wangu iongezeke huku Mpumbavu Mmoja Wewe ukiwa huna hata Mmoja.
Hivi anayeongozwa kwa Kupuuzwa JamiiForums nzima GENTAMYCINE ( kama usemavyo ID yake inaweza kuwa miongoni kwa ID's 10 ) zinazoongoza kwa Kusomwa ns Kufuatiliwa zaidi hapa JamiiForums?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias )
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na hivi karibuni Marafiki zangu wa Kikongo wamenipa ( wamenibatiza ) Jina jipya la Kifaransa liitwalo
Le Ange Adorable ( Malaika Ninayeabudiwa )
Na msichokijua kadri tu mmavyozidi Kunichukia ndiyo mnaniongezea Umaarufu hapa JamiiForums mpaka nakuwa Talk of the Town hivyo nakuomba na nawaombeni msiache Kunichukia kwani najua kuwa si Kosa lako ( lenu ) bali ni la Mwenyezi Mungu Kunibariki Mimi na Shani ( Tunu ) nyingi kuliko Wewe ( Nyie ) huku akinipa Natural Charm yangu ya Ajabu ambayo ndiyo inawatesa na Kuwasumbueni Kutwa huku mkiwa hamchoki tu Kuniimba.
Na kuhusu Mimi kuwa Shogger ( Shoga ) kama ulivyoandika hapa wala hujakosea kwani nilijifunza na Kumuiga Mdingi ( Mshua ) wako ambaye ni Mwandamizi wa Kitendo hiki cha Ufirauni na ameshapigwa 'Bomba' sana ila hataka Kuiacha / Kuistaafu.
Natumai Dozi hii imekuingia vyema tu.