Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

Bila ya Kumsahau 'aliyekutapika' Wodi ya Uzazi na 'Wapuuzi' Wenzako wote.
We umepuuzwa na jamii forum nzima ndio maana ukaitwa jina la kipekee "POPOMA" maana yake kubwa jinga, mshamba,limbukeni na shoger la kutupwa.
 
We umepuuzwa na jamii forum nzima ndio maana ukaitwa jina la kipekee "POPOMA" maana yake kubwa jinga, mshamba,limbukeni na shoger la kutupwa.
Angalia ulivyo Mpumbavu, Mshamba na Mkurupukaji mkubwa na kumbe nikiws nawadharau huwa sikosei ( siwakosei )

Neno Popoma ( lenye maana ya Mpumbavu ) Mimi GENTAMYCINE ndiyo nililibuni kutoka Lugha mbili za Wazaramo na Wandengereko baada ya Kuyatohoa maneno Mawili na Kujitambulisha rasmi hapa mwaka 2013 nilipojiunga JamiiForums kama Member.

Na kwa Kujiamini kabisa Ushahidi wake upo hasa baada ya neno hili nililolibuni ( likimaanisha Mtu Mpumbavu ) kutokea Kupendwa na wengi Kimatumizi kiasi kwamba mpaka Maeneo mengine nje ya hapa JamiiForums Watu wanalitumia.

Kuhusu Hoja yako kuwa Mimi ni Member ninayeongoza kwa Kupuuzewa JamiiForums nzima hujakosea kwani huko Kupuuzwa Kwangu ndiyo kunanifanya nisomwe ( nifuatiliwe ) mno na Rais wako Samia, Rais Mstaafu Kikwete, Mkuu wa Majeshi Jenerali Mabeyo, Poti wangu wa Kizanaki IGP Sirro, Mkuregenzi wa Usalama wa Taifa Diwani pamoja na 65% ya Watendaji wake ( TISS Officials ). aliyewahi kuwa Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Rais ( PSU ) James Khaji kabla ya kuwa Commissioner wa Dawa za Kulevya ( DCEA ), Balozi Wilbroad Slaa, 50% ya Mawaziri, 80% ya Wabunge ww JMT, Wanajeshi, Wanachuo na Wahadhiri wao, Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji na Wachambuzi ) wa Vipindi vya Michezo, Viongozi na Wanachama wa Klabu ya Simba, Watu wa Kawaida ila Werevu sana Jamvini, 75% ya JamiiForums Members ( ukiwemo Wewe ambaye pamoja na kusema naongozwa kwa Kupuuzwa ila 24/7 huachi Kusoma Mada zangu na Michango yangu mbalimbali.

Ni kweli huku Kupuuzwa Kwangu ndiyo pia kunanifanya Kila Siku idadi ya 'Followers' wangu iongezeke huku Mpumbavu Mmoja Wewe ukiwa huna hata Mmoja.

Hivi anayeongozwa kwa Kupuuzwa JamiiForums nzima GENTAMYCINE ( kama usemavyo ID yake inaweza kuwa miongoni kwa ID's 10 ) zinazoongoza kwa Kusomwa ns Kufuatiliwa zaidi hapa JamiiForums?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na hivi karibuni Marafiki zangu wa Kikongo wamenipa ( wamenibatiza ) Jina jipya la Kifaransa liitwalo Le Ange Adorable ( Malaika Ninayeabudiwa )

Na msichokijua kadri tu mmavyozidi Kunichukia ndiyo mnaniongezea Umaarufu hapa JamiiForums mpaka nakuwa Talk of the Town hivyo nakuomba na nawaombeni msiache Kunichukia kwani najua kuwa si Kosa lako ( lenu ) bali ni la Mwenyezi Mungu Kunibariki Mimi na Shani ( Tunu ) nyingi kuliko Wewe ( Nyie ) huku akinipa Natural Charm yangu ya Ajabu ambayo ndiyo inawatesa na Kuwasumbueni Kutwa huku mkiwa hamchoki tu Kuniimba.

Na kuhusu Mimi kuwa Shogger ( Shoga ) kama ulivyoandika hapa wala hujakosea kwani nilijifunza na Kumuiga Mdingi ( Mshua ) wako ambaye ni Mwandamizi wa Kitendo hiki cha Ufirauni na ameshapigwa 'Bomba' sana ila hataka Kuiacha / Kuistaafu.

Natumai Dozi hii imekuingia vyema tu.
 
We yani unamfananisha escobar na nabi tito?

Hata ungefananisha uwezo wa matola na nabi bado ningekupinga vikali
 
Kwann mnatukanana? Jamaa kaongea maoni yake, sasa ana kosa gani?
ni vema kabisa ungeanza kumuuliza yeye aliyeanza kutukana,sasa nashangaa unaniuliza mm wakati nimejibu mashambulizi tu,
Hivi ukiileta hoja ukawa challenged ndio lazma ujidefend kwa lugha chafu?
Hapa unavyokuja ndio unavyopokelewa mkuu,

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Sio muda mrefu wataanza wenyewe kukiri kwamba hakuwahi kuwa katika benchi la ufundi la timu ya Real Madrid na watakubali kwamba zile zilikuwa ni promo za kawaida za kiswahili tu.

But let Simba take heart ❤️ because no team is invincible as far as soccer is concerned, they should not expect their team to win all matches it plays because their opponents are not blinds.
 
Uwezo wa Kocha unatokana na Usajiri Mzuri.
Na Upangaji mzuri wa Kikosi hicho.
 
ni vema kabisa ungeanza kumuuliza yeye aliyeanza kutukana,sasa nashangaa unaniuliza mm wakati nimejibu mashambulizi tu,
Hivi ukiileta hoja ukawa challenged ndio lazma ujidefend kwa lugha chafu?
Hapa unavyokuja ndio unavyopokelewa mkuu,

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Huna uwezo wa Kupambana nami kwa Vita ya Maneno nami Dunduna ( Jinga ) Wewe sawa?

Wamenishindwa Magwiji hapa tokea 2013 leo hii Wewe 'Kishundu Pori' ndiyo uniweze? Utaishia tu Kujitutumua hivi ila Mziki huu kamwe huuwezi sawa?
 
kile kiti alichopiga teke nimesikia kimeokotwa maeneo ya mafinga
 
Huna uwezo wa Kupambana nami kwa Vita ya Maneno nami Dunduna ( Jinga ) Wewe sawa?

Wamenishindwa Magwiji hapa tokea 2013 leo hii Wewe 'Kishundu Pori' ndiyo uniweze? Utaishia tu Kujitutumua hivi ila Mziki huu kamwe huuwezi sawa?
Kwa kuliwa kiboga kweli sikuwezi ..。。wewe mshamba tu unajifanya mjanja na mjuaji kumbe zuzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom