Nabii Bilionea shilla....!!!

Mimi nilishaacha kuwashangaa manabii wa hivi, bado nawashangaa wafuasi wake,
Siku hizi kila mtu ana "nabii" wake.

Yawezekana hata wewe una wa kwako ila unajiona uko sahihi.

Binafsi nikiona mtu amekuwa mfuasi "msukule" wa mtu yeyote huwa nmwona mpuuzi tu.

Kuna watu huwaambii kitu kuhusu Diamond,

..,...........huwaaambii kitu kuhusu Mbowe,

..........kuhusu Kakobe

........kuhusu Zitto

...........kuhusu Gwajima
..........kuhusu Alikiba
..........Maxence Melo
...........Ontario

...,........Carol Ndisi
.........kuhusu Maria Sarungi
......... Kuhusu Magufuli

In short, watu wanaotumia akili zao kufanya mambo yao ni wachache sana.
 
Asiye na marinda anakuaje mtumishi huyo msanii Hana huduma yeyote
 
MHH!!! NA MIMI NAFUNGUA KANISA, NAONA HII KAZI INALIPA KWELI. NATAFUTA MUHASIBU NA MWEKAHAZINA AU ZOTE NIZIFANYE MIMI? HAPO MNANISHAURIJE WAKUU?
 
Hivi ONTARIO kijana wa kijaluo sikuhizi yuko wapi?
 
Kabisa, dingi si alikuaga inspekta
 
Mnaelewa maana ya X experience hiyo label kwenye tshirt yake? Ukielewa usiumize kichwa na hiyo mihela yake, it is just a manipulation of minds
 
MHH!!! NA MIMI NAFUNGUA KANISA, NAONA HII KAZI INALIPA KWELI. NATAFUTA MUHASIBU NA MWEKAHAZINA AU ZOTE NIZIFANYE MIMI? HAPO MNANISHAURIJE WAKUU?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…