Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU, AIBU, UTAPELI!! Ona video

==========================
UPDATE: 05/11/2020

Hatimae tapeli nabii Bushiri awatapeli waumini wake Randi milioni 500, video hapo chini ina maelezo ya kina sana

===========================
UPDATE: 14/07/2021

“A judging God who has plans and acts purposively is a God to be obeyed and placated. Opportunistic preachers are then able to play on our hopes and fears in the face of such a God. They prescribe ways of acting that are calculated to avoid being punished by that God and earn his rewards. But, Spinoza insists, to see God or Nature as acting for the sake of ends—to find purpose in Nature—is to misconstrue Nature and “turn it upside down” by putting the effect (the end result) before the true cause.

Nor does God perform miracles, since there are no, and cannot be, departures whatsoever from the necessary course of nature. This would be for God or Nature to act against itself, which is absurd. The belief in miracles is due only to ignorance of the true causes of phenomena.”

=================================
Nyingine hii ya juzi juzi

jamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.
 
Bado ipo mijinga mingi tu kwenye hiyo dini inaamini hayo. Ni mijinga tu.
 
Kuna moja niliona anomba iPad ili amuoneshe mmoja kati ya waumini wake mwanae aanaeumwa.kumbe alikua kesha mpanga huyo mwenye iPad na picha ya mtoto ilikua ipo tayari kwenye iPad juu kabisa, alichofanya ni kuclick tu picha ikaja juu..watu walishangilia hatari.
Siku ya mwisho asee tutashangaani huko moton au mbinguni!!
 
Mziki wa huko hauna maelezo hata ukijifanya Baunsa kule utaisoma namba kimtindo
 
Ukiangalia video clips nyingi za huyu bwana mchungaji Abushiri ndani ya Youtube utagundua ni kiasi gani alivyo fake.
Anawadanganya waumini wake kwamba ana uwezo wa miujiza kumbe hana.
Kuna Jamaa amejitokeza kumchana live na kuanzisha campaign ya "Bushiri must fall"
Mungu asaidie ifike siku Bushiri ashindwe katika Jina la Yesu Kristo.
 
Yaan anapiga picha bila kubonyeza kidude cha kushoot camera..., hahahahahahaha!!!!!
 
Back
Top Bottom