Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Kila mtu huyu jamaa anayemfanyia prophecy, huwa maswali yake ni hayahaya na anayarudia mara nyingiiii. Do I know you? Have we met before? Did you tell me your name before? Did you send an email to me?'' and so forth. Yaani mpaka leo hajiamini kama wafuasi wake hawaamini miujiza yake? Kuna tatizo mahali flani.
 
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU,AIBU,UTPELI!! Ona video

Dont touch my annointed one, ndivyo neno lisemavyo. Hata mitume ambao leo twawaheshimu walidharaulika sana enzi zao. Wote Yesu na Mohamad, na mitume yote walio wahi kueneza injiri. Haya mbo yali kuwepo, yapo na yatakuwepo.
Hizi dharau au kubeza zitawapeleka pamba.
 
Kwa sie wa kristo, yesu alipuuzwa saana. Leo baada ya miaka elf 2000, dunia nzima inamkubali. Kwahio kuweni makini munapo critic
 
Dont touch my annointed one, ndivyo neno lisemavyo. Hata mitume ambao leo twawaheshimu walidharaulika sana enzi zao. Wote Yesu na Mohamad, na mitume yote walio wahi kueneza injiri. Haya mbo yali kuwepo, yapo na yatakuwepo.
Hizi dharau au kubeza zitawapeleka pamba.
Kwahiyo hii inabadilisha nini juu ya tunachokiona kwenye video hizi? Mfano hiyo anajidai kupiga picha na ipad kumbe amebonyeza gallery; lete hoja sio taarab, ngonjera na kulia lia kutafuta huruma. No mercy for fake pastors ni kuwaaibisha na kuwavua nguo tu..
 
Hakika umeongea ukweli ....Mimi na declare huyu nabii ni role model wangu...I used to trust and appreciate him.
 
Kwahiyo hii inabadilisha nini juu ya tunachokiona kwenye video hizi? Mfano hiyo anajidai kupiga picha na ipad kumbe amebonyeza gallery; lete hoja sio taarab, ngonjera na kulia lia kutafuta huruma. No mercy for fake pastors ni kuwaaibisha na kuwavua nguo tu..
Kwani hiyo video unayoiona haiwezi kutengenezwa.....na ndo maana video haikubaliki mahakamani
 
Back
Top Bottom