MGILEADI
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,621
- 1,545
Yaan anapiga picha bila kubonyeza kidude cha kushoot camera..., hahahahahahaha!!!!!
Hakuna anayejua itakavyokuwa hata Mtume Paulo akifundisha hili anasema ni "kufumba na kufumbua." Hiyo ni tofauti kabisa na anayoyaonesha huyo nabii.