UMBWE1
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 758
- 696
Unaweza kuthibitisha kwamba chanzo cha utajiri wake ni sadaka ?Chanzo cha utajiri wake ni sadaka, kuwekeza sio jambo baya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuthibitisha kwamba chanzo cha utajiri wake ni sadaka ?Chanzo cha utajiri wake ni sadaka, kuwekeza sio jambo baya
Mkuu accacia ni kiwanda ?????Wengi nyie mloleta hizo video kutoka youtube hamjui hata mnachojaribu kuongea,unachukua kipande cha video arafu unakuja kumsema mtumishi wa MUNGU,usiyoyajua usishadadie kuongea,mfatlieni huyo alieanzisha bushiri must fall ameishia wapi ? kwa taarifa yenu Prophet bushiri hategemei sadaka katika kuendesha maisha yake anaviwanda vya madini kamavile acacia na viwanda vya nguo vipo china amewekeza kwenye mahotel dubai,sio maskini kama wewe uliyeenzisha hii mada hapa
Kama ni hivyo basi poa, ila unahitaji mahakama ikwambie kwamba huyo mtu ni tapeli wakati unaona kwa macho yako? Huyo mbaba anaemuumbua nabii stejini ni wa kutengeneza sio?Kwani hiyo video unayoiona haiwezi kutengenezwa.....na ndo maana video haikubaliki mahakamani
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU,AIBU,UTPELI!! Ona video
Kama ni kweli ana viwanda au si kweli sio hoja hapa, hoja ni utapeli anaofanya wa waumini wake, kilochomtokea huyo wa Bushiri must fall pia sio hoja.Wengi nyie mloleta hizo video kutoka youtube hamjui hata mnachojaribu kuongea,unachukua kipande cha video arafu unakuja kumsema mtumishi wa MUNGU,usiyoyajua usishadadie kuongea,mfatlieni huyo alieanzisha bushiri must fall ameishia wapi ? kwa taarifa yenu Prophet bushiri hategemei sadaka katika kuendesha maisha yake anaviwanda vya madini kamavile acacia na viwanda vya nguo vipo china amewekeza kwenye mahotel dubai,sio maskini kama wewe uliyeenzisha hii mada hapa
Mkuu, kwenye heading niliandika hivi "TAPELI BUSHIRI..." Mods wakabadilisha na kuandika "NABII BUSHIRI.."sasa cha Ajabu hata muandishi wa habari hii anamuita huyu tapeli NABII!
Kazi kweli kweli
Sio tapeli ni mjasiliamali kaona fursa ipo kwenye issue za spiritual azitumieKama ni kweli ana viwanda au si kweli sio hoja hapa, hoja ni utapeli anaofanya wa waumini wake, kilochomtokea huyo wa Bushiri must fall pia sio hoja.
Sawa ni fursa, lakini bado ni utapeli kwani anafanya miujiza fake..Sio tapeli ni mjasiliamali kaona fursa ipo kwenye issue za spiritual azitumie
Acha uongo mtume Mohamed hakuwa muhubili wa injili eeh!Dont touch my annointed one, ndivyo neno lisemavyo. Hata mitume ambao leo twawaheshimu walidharaulika sana enzi zao. Wote Yesu na Mohamad, na mitume yote walio wahi kueneza injiri. Haya mbo yali kuwepo, yapo na yatakuwepo.
Hizi dharau au kubeza zitawapeleka pamba.
Kabisa mkuu. Yaani hao waumini wake hawana tofauti na waumini wa Bitcoins etc.Biblia inaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa haikukosea. Lakini bado utashangaa wanaojiita walokole a.k.a wapendwa wataendelea kumuamini tu! Hawa jamaa ni wafanyabiashara tuu.[emoji36]