kelenyende
Senior Member
- Aug 24, 2017
- 163
- 153
Biblia inaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa haikukosea. Lakini bado utashangaa wanaojiita walokole a.k.a wapendwa wataendelea kumuamini tu! Hawa jamaa ni wafanyabiashara tuu.[emoji36]
Kwan bibilia haina andiko la wokovu? Afu bibilia haisemi ila wewe waisemea hata mchawi anabibilia basi ingekuwa inamtetemesha kama inasema ingemgomea Omba roho mtakatifu akushukie usome ufunuliwe.