Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Biblia inaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa haikukosea. Lakini bado utashangaa wanaojiita walokole a.k.a wapendwa wataendelea kumuamini tu! Hawa jamaa ni wafanyabiashara tuu.[emoji36]
walokole hawaamini upuuzi huo
 
Fungua la kwako na wewe uendelee kuwapiga hao wajinga maana unasema hawaishi au unaonaje Jombaa
Yanini Nijichumie zambi kwa maisha mafupi ya duniani? Hela Mbuzi nazopata zinanitosha yanini nikitie laana kizazi changu kwa kuwadhulumu wana wa adamu? Hata Mbuyu ulianza kama mchicha na mimi nina imani mdogo mdogo mwendo wa kobe nitafika.
 
Ni rahisi mno kuwadanganya binadamu kutumia dini, hata Jesuis alituonya sana lakini je tutafanyaje kuwabaini hawa manabii wa uongo?
Wadanganye na wewe iyo biblia gani inataja Jesuis?Acheni kudandia maneno msiyoyajua
 
jamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.
Akudanganye wewe ili apate nini?
 
Yanini Nijichumie zambi kwa maisha mafupi ya duniani? Hela Mbuzi nazopata zinanitosha yanini nikitie laana kizazi changu kwa kuwadhulumu wana wa adamu? Hata Mbuyu ulianza kama mchicha na mimi nina imani mdogo mdogo mwendo wa kobe nitafika.
Basi Usiyaonee kijicho maendeleo ya mwingine kwa story za kuambiwa
 
Wengi nyie mloleta hizo video kutoka youtube hamjui hata mnachojaribu kuongea,unachukua kipande cha video arafu unakuja kumsema mtumishi wa MUNGU,usiyoyajua usishadadie kuongea,mfatlieni huyo alieanzisha bushiri must fall ameishia wapi ? kwa taarifa yenu Prophet bushiri hategemei sadaka katika kuendesha maisha yake anaviwanda vya madini kamavile acacia na viwanda vya nguo vipo china amewekeza kwenye mahotel dubai,sio maskini kama wewe uliyeenzisha hii mada hapa
Hizo mali alikua Nazo kabla au baada ya kuanza kula vya madhabahuni?
 
Basi endelea kumsema kwa comments za jamii forum ataacha utapeli sawa Jombaa
JF ni mtandao mkubwa tunawazindua "Wajinga" wazinduke wasiendelee kupigwa sio mpaka MANGE ASEME.

Pyramid scheme/Network marketing tumezipinga sana humu watu wamezinduka baada ya mange kusema jana na hili la Mapasta wapigaji tutaendelea kulipinga sana.
 
Haya mtumie na mange awasaidie na hili
 
Back
Top Bottom